GE2025 Tuseme ukweli: Maandamano ya Uchaguzi ni vijana wetu siyo kutoka nje ya nchi

GE2025 Tuseme ukweli: Maandamano ya Uchaguzi ni vijana wetu siyo kutoka nje ya nchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Unajua nini kuhusu EAC?
Hoja yako ni ya Kipumbavu sana hakuna Wakenya wanaoishi Tanzania ambao wengine walikua wanatoka kwenye mishe zao wakapigwa risasi sisi tumeona Israel wabongo waliokufa Wakenya wengi bongo wa Nigeria tusitafute chokochoko na majirani hao ni Vijana wetu ndo wamekufa wako mochwari
 
Kama walitoka nje ya nchi kazi ya jeshi ni nini zaidi ya kulinda mipaka ya nchi?

Hizi kauli zao zinalichafua jeshi kuliko kuwajenga na kuwajengea image nzuri kwa wananchi.
 
Umeelewa kilichoandikwa hapo??
Huyo hakusafiri kutoka Kenya kwenda kuandamana Tanzania, alikuwa mfanyakazi Tanzania.

Ni kama ambavyo shehe Majini aliuawa, yule mtangazaji wa Cluods aliuawa, mama mmoja aliendesha gari hadi Tegeta Nyuki kutafuta chakula akauawa, nk..
Alikua anafanya nini ubungo,siku ya uchaguzi hakuna kazi na ubungo ndiko maandamano yalikoanzia?!
 
Sheikh majini alikua mgonjwa,
Mgonjwa au mzima ila aliuawa kwa risasi na wauaji wenu, ndugu zake ndo wamesema. Labda kama ulihusika wewe kumuua ndo ulete taarifa ya upande wako.
tindwa ndiyo alipigwa risasi,ni stray bullet
Stray bullet??
Muuaji alikuwa analenga mnyama gani risasi ikaishia kwa huyo mtu?
Na kama ni stray bullet imekuwaje wakaua maelfu?
Hayo ni mauaji ya makusudi
 
Back
Top Bottom