aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
wameingiaje nchini?nchi Haina mipaka wameingia kama chooni?Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence - Kenyans.co.ke Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence
Kwa hiyo sasa hivi tujadili namna walivyoingia na si kuwa kweli walikuwepo!?..unaelewa nini kuhusu EAC?wameingiaje nchini?nchi Haina mipaka wameingia kama chooni?
Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence - Kenyans.co.ke Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election ViolenceTuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua
Alisema yametimia
eac ya mamaako jibu maswali.wamepitaje mipakani hadi wakafika kuandamana?mipaka hailindwiKwa hiyo sasa hivi tujadili namna walivyoingia na si kuwa kweli walikuwepo!?..unaelewa nini kuhusu EAC?
Unajua nini kuhusu EAC?eac ya mamaako jibu maswali.wamepitaje mipakani hadi wakafika kuandamana?mipaka hailindwi
nitokee huko mwehu wewe.huna majibu yakueleweka kadange hukoUnajua nini kuhusu EAC?
Hoja yako ni ya Kipumbavu sana hakuna Wakenya wanaoishi Tanzania ambao wengine walikua wanatoka kwenye mishe zao wakapigwa risasi sisi tumeona Israel wabongo waliokufa Wakenya wengi bongo wa Nigeria tusitafute chokochoko na majirani hao ni Vijana wetu ndo wamekufa wako mochwariUnajua nini kuhusu EAC?
Umeelewa kilichoandikwa hapo??Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence - Kenyans.co.ke Kenyans Among Hundreds Killed in Tanzania’s Post-Election Violence
Alikua anafanya nini ubungo,siku ya uchaguzi hakuna kazi na ubungo ndiko maandamano yalikoanzia?!Umeelewa kilichoandikwa hapo??
Huyo hakusafiri kutoka Kenya kwenda kuandamana Tanzania, alikuwa mfanyakazi Tanzania.
Ni kama ambavyo shehe Majini aliuawa, yule mtangazaji wa Cluods aliuawa, mama mmoja aliendesha gari hadi Tegeta Nyuki kutafuta chakula akauawa, nk..
Watu wanakuwa na dharura nyingi huwezi kujua,Alikua anafanya nini ubungo,siku ya uchaguzi hakuna kazi na ubungo ndiko maandamano yalikoanzia?!
Sheikh majini alikua mgonjwa,tindwa ndiyo alipigwa risasi,ni stray bulletWatu wanakuwa na dharura nyingi huwezi kujua,
Kwani shehe Majini alikuwa anafanya nini huko??
Mgonjwa au mzima ila aliuawa kwa risasi na wauaji wenu, ndugu zake ndo wamesema. Labda kama ulihusika wewe kumuua ndo ulete taarifa ya upande wako.Sheikh majini alikua mgonjwa,
Stray bullet??tindwa ndiyo alipigwa risasi,ni stray bullet