Uchaguzi 2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

Itapendeza ukajibu hoja kwa hoja ni aina gani ya uchumi ujengwe na Serikali gani?
 
Itapendeza ukajibu hoja kwa hoja ni aina gani ya uchumi ujengwe na Serikali gani?
Uchumi ambao serikali ya CCM inajaribu kuwaaminisha wananchi wake ulipaswa kuwepo miaka 20 nyuma! "Tanzania kama Ulaya"

Ila hali halisi hiyo itabaki kuwa ndoto tu, mfano mzuri ni upumbavu wa serikali ya CCM kuonyesha render ya flyover ya Ubungo ambayo siyo iliyojengwa tena kwenye TV ya umma.
 
Napenda kukubaliana na wewe akini hujajibu Uchumi wa aina gani kwa Tanzania na Serikali ipi badala ya CCM? Japo utoe na mifano michache ya rejea.
 
Hapo namba 5 kwenye kilimo hebu tuelezee kafanya nini ambacho ni kipya?
 
Hatukatai! Maendeleo yapo kwa kiasi chake. Mkubali basi kuwapisha wengine ili nao waendelee pale mlipoishia. Nongwa iko wapi? Hamtaki kabisa kutuachia nchi yetu! Kuna nini pale Ikulu?
Sumu haionjwi
 
Hayo maendeleo watu wa Jamhuri ya watu wa chato tu ndio wanayaona......
Hajuna mtz mwingine anaona huo ushuzi
 
Maendeleo sahihi ni ya watu...
Yaani watendee na wawezeshe wananchi wako directly and indirectly ili waweze kujikimu na kujiendeleza wenyewe bila kukutegemea...
Hayo madaraja yenu na ndege zenu na mabwawa yenu na hifadhi zenu n.k yote ni miradi ya upigaji...
 
Hizi ni kodi zetu watanzania wote, sio hela za CCM
 
60 years of Independence Tanzania is Among of the Poorest country in the word.

Ni nchimasikini mno imetopea katika wimbi la umasikini.

CHAMA CHA MAPINDUZI kimeturudisha nyuma sana kimaendeleo. Wanafika hadi kununua wabunge wa upinzani kwa madai ya kuunga mkono juhudi.
Duniani kote haya maajabu yanapatikana Tanzania tu.

Hakika ilikuwa biashara kichaa mno.
 
Wajibu Na Haki Kwa Serikali Yoyote
Hawastahiri Lolote Zaidi Inatakiwa Mamlaka Husika Ifanye Uchunguzi Kuibua Ubadhirifu Mkubwa Uliofanywa Kwa Awamu Mbalimbali
 
SIYO YA KUBEZA KWEL,LAKIN CCM INATAKIWA KUPATA KULA CHACHE ZA NDIO ILI WAONGEZE BIDII
 
Haya tushakusikia kalale sasa..

Hivi mnaagenda gani na nchi yetu hadi mnatulazimisha hivyo!

Hivi sisiem hamjui kukataliwa!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…