Uchaguzi 2020 Tuseme ukweli maendeleo yaliyoletwa na CCM siyo ya kubeza. Tukumbushane kisha tuwapigie kura ya ndiyo CCM

Kenya is another thing usiilinganishe hata kidogo na nchi kama Tanzania.

Serikali ya CCM kwa miaka zaidi ya 55 imeshindwa kufanya lolote la maana kwenye nchi hii.
Bado inapiga kampeni za kujenga Zahanati, Vituo vya afya, hospital za mikoa na wilaya, ujenzi wa barabara, ujenzi wa shule n.k kwa miaka 55 in a row!

Hii ni serikali ya kipuuzi kabisa, nchi kama Malaysia ni kosa kupiga kampeni za namna hii kwa sababu walishatoka kwenye huu ujinga.
Tunajua sote mtaji wa CCM ni wajinga wengi walioko Tanzania siku wakiisha hii nchi itabadilika.
Itapendeza ukajibu hoja kwa hoja ni aina gani ya uchumi ujengwe na Serikali gani?
 
Uchumi ambao serikali ya CCM inajaribu kuwaaminisha wananchi wake ulipaswa kuwepo miaka 20 nyuma! "Tanzania kama Ulaya"

Ila hali halisi hiyo itabaki kuwa ndoto tu, mfano mzuri ni upumbavu wa serikali ya CCM kuonyesha render ya flyover ya Ubungo ambayo siyo iliyojengwa tena kwenye TV ya umma.
 
Napenda kukubaliana na wewe akini hujajibu Uchumi wa aina gani kwa Tanzania na Serikali ipi badala ya CCM? Japo utoe na mifano michache ya rejea.
 
Hapo namba 5 kwenye kilimo hebu tuelezee kafanya nini ambacho ni kipya?
 
Hayo maendeleo watu wa Jamhuri ya watu wa chato tu ndio wanayaona......
Hajuna mtz mwingine anaona huo ushuzi
 
Maendeleo sahihi ni ya watu...
Yaani watendee na wawezeshe wananchi wako directly and indirectly ili waweze kujikimu na kujiendeleza wenyewe bila kukutegemea...
Hayo madaraja yenu na ndege zenu na mabwawa yenu na hifadhi zenu n.k yote ni miradi ya upigaji...
 
Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo:

1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza- Kagera-Lindi-Mtwara.Aidha barabara hadi Mbeya-Rukwa. Bila kusahau Arusha-Babati, Dodoma -Arusha nk vivyo hivyo kwa Zanzibar.

2. Uanzishwaji wa vyuo vikuu na vyuo vya kitaaluma, utafiti na ufundi kikiwemo chuo kikuu Dodoma

3. Ujenzi wa madaraja

4. Uboreshaji sekta za kijamii za elimu, afya na maji

5. Kilimo

6. Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

7. Upanuzi wa majeshi yetu na miundo mbinu ya kisasa ya kivita

8. Upanuzi wa viwanja vya ndege na ufufuaji wa shirika letu la ndege

9. Bima ya Afya

10. Uimarishaji wa sekta ya utumishi wa umma kiutendaji, miundo mbonu na kimaadili. Hali Haikuwa hivi. Yapo mabadiliko makubwa ukilinganisha na miaka ya sabini.

11. Kuongeza balozi zetu nje na diplomasia ya uchumi nje ya nchi

Mambo ni mengi hadi kufikia uchumi wa kati. Sikatai kuwa hadi sasa bado changamoto za kijamii na kiuchumi zipo zinahitaji kushughulikiwa.

Maendeleo ni mchakato ila angalau tunapaswa tutathmini kwa kuangalia kiuhalisia bila kutanguliza itikadi au kwa jicho la makengeza.

Hivyo tuwaachie hawa waliopo yaani CCM tuone wanatusaidiaje kwa changamoto zilizpo tusiende kwa mihemko halafu baadaye tena tukajuta.
Hizi ni kodi zetu watanzania wote, sio hela za CCM
 
60 years of Independence Tanzania is Among of the Poorest country in the word.

Ni nchimasikini mno imetopea katika wimbi la umasikini.

CHAMA CHA MAPINDUZI kimeturudisha nyuma sana kimaendeleo. Wanafika hadi kununua wabunge wa upinzani kwa madai ya kuunga mkono juhudi.
Duniani kote haya maajabu yanapatikana Tanzania tu.

Hakika ilikuwa biashara kichaa mno.
 
Wajibu Na Haki Kwa Serikali Yoyote
Hawastahiri Lolote Zaidi Inatakiwa Mamlaka Husika Ifanye Uchunguzi Kuibua Ubadhirifu Mkubwa Uliofanywa Kwa Awamu Mbalimbali
 
SIYO YA KUBEZA KWEL,LAKIN CCM INATAKIWA KUPATA KULA CHACHE ZA NDIO ILI WAONGEZE BIDII
 
Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo:

1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza- Kagera-Lindi-Mtwara.Aidha barabara hadi Mbeya-Rukwa. Bila kusahau Arusha-Babati, Dodoma -Arusha nk vivyo hivyo kwa Zanzibar.

2. Uanzishwaji wa vyuo vikuu na vyuo vya kitaaluma, utafiti na ufundi kikiwemo chuo kikuu Dodoma

3. Ujenzi wa madaraja

4. Uboreshaji sekta za kijamii za elimu, afya na maji

5. Kilimo

6. Teknolojia ya Mawasiliano na Habari

7. Upanuzi wa majeshi yetu na miundo mbinu ya kisasa ya kivita

8. Upanuzi wa viwanja vya ndege na ufufuaji wa shirika letu la ndege

9. Bima ya Afya

10. Uimarishaji wa sekta ya utumishi wa umma kiutendaji, miundo mbonu na kimaadili. Hali Haikuwa hivi. Yapo mabadiliko makubwa ukilinganisha na miaka ya sabini.

11. Kuongeza balozi zetu nje na diplomasia ya uchumi nje ya nchi

Mambo ni mengi hadi kufikia uchumi wa kati. Sikatai kuwa hadi sasa bado changamoto za kijamii na kiuchumi zipo zinahitaji kushughulikiwa.

Maendeleo ni mchakato ila angalau tunapaswa tutathmini kwa kuangalia kiuhalisia bila kutanguliza itikadi au kwa jicho la makengeza.

Hivyo tuwaachie hawa waliopo yaani CCM tuone wanatusaidiaje kwa changamoto zilizpo tusiende kwa mihemko halafu baadaye tena tukajuta.
Haya tushakusikia kalale sasa..

Hivi mnaagenda gani na nchi yetu hadi mnatulazimisha hivyo!

Hivi sisiem hamjui kukataliwa!!?
 
Back
Top Bottom