Kipindi hiki cha uchaguzi mengi yanasemwa na baadhi ya watu kuhusu maendeleo madogo yaliyofikiwa, mimi niwa muwazi tu kwamba ukilinganisha na yapata miaka 30 iliyopita tangu tuingie vyama vingi nchi imebadilika hususani kwenye maeneo yafuatayo:
1. Uwepo wa Mtandao wa barabara DSM - Mwanza- Kagera-Lindi-Mtwara.Aidha barabara hadi Mbeya-Rukwa. Bila kusahau Arusha-Babati, Dodoma -Arusha nk vivyo hivyo kwa Zanzibar.
2. Uanzishwaji wa vyuo vikuu na vyuo vya kitaaluma, utafiti na ufundi kikiwemo chuo kikuu Dodoma
3. Ujenzi wa madaraja
4. Uboreshaji sekta za kijamii za elimu, afya na maji
5. Kilimo
6. Teknolojia ya Mawasiliano na Habari
7. Upanuzi wa majeshi yetu na miundo mbinu ya kisasa ya kivita
8. Upanuzi wa viwanja vya ndege na ufufuaji wa shirika letu la ndege
9. Bima ya Afya
10. Uimarishaji wa sekta ya utumishi wa umma kiutendaji, miundo mbonu na kimaadili. Hali Haikuwa hivi. Yapo mabadiliko makubwa ukilinganisha na miaka ya sabini.
11. Kuongeza balozi zetu nje na diplomasia ya uchumi nje ya nchi
Mambo ni mengi hadi kufikia uchumi wa kati. Sikatai kuwa hadi sasa bado changamoto za kijamii na kiuchumi zipo zinahitaji kushughulikiwa.
Maendeleo ni mchakato ila angalau tunapaswa tutathmini kwa kuangalia kiuhalisia bila kutanguliza itikadi au kwa jicho la makengeza.
Hivyo tuwaachie hawa waliopo yaani CCM tuone wanatusaidiaje kwa changamoto zilizpo tusiende kwa mihemko halafu baadaye tena tukajuta.