Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Jana yanga kacheza friendly match na DTB kampiga 3 bila unataka kila kitu tutanganze
 
Tukutane uwanjani. Kelele na muziki vitafahamika.
 
Sio wachezaji tu hata mashabiki tumepoa unajua kwanini? Tumegundua sisi ni team bora acha vitendo viongee.
nakuonea huruma sana mkuu.

njoo ushuhudie pira la kibrazil cyo mpira wa makoro

Yani mshajua kuwa msimu huu amna chenu

huu mwaka wa yanga banaaa
 
Mmejipanga wakati hadi sasa hamjacheza mech hata moja ya mazoez ?
Tumecheza jana ..

bumbuli amelithibitisha hilo leo kwenye sport extra ya EFM na tumechapa mtu 3 kwa nyoko

Timu kubwa haitangazi vitu kama hvyoo

tunawaachia makolo
 
nyinyi mna nani ?

baadaya chama na micqquison kuondoka??

ntajie mtu mwenye uwezo wa kuziba hizo pengo 2

waliobaki n makolo
Very simple mkuu, kabla ya ujio wa Chama msimu uliokuwa nyuma yake Simba alikuwa bingwa, kabla ya ujio wa Kondeboy Simba alikuwa bingwa, Kwa maana hiyo kutoka kwao pia, Simba BDO atazidi kuwa bingwa...Simba huwa inatengeneza mchezaji mkubwa yenyewe, mwisho wa msimu uniulize Hilo swali tena.
 
Tumecheza jana ..

bumbuli amelithibitisha hilo leo kwenye sport extra ya EFM na tumechapa mtu 3 kwa nyoko

Timu kubwa haitangazi vitu kama hvyoo

tunawaachia makolo
Bumbuli kathibitisha kama nani?

Msemaji wa club?

Timu kubwa haitangazi vitu vya hovyo, ila iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda
 
Sioni future tena Simba ....

nambie mechi 2 ambazo chama hakucheza halafu team ikaperform kwa level zilezile

ngoja simba day tuone hyo friendly madudu mtakayotuonyeshe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah eti tunarekodi ngwasuma

mkuu unazingua

Hii ni Yanga This is Yanga Timu ya wananchi cyo timu ya mwaarabu koko na hawara yake
Acha kujitoa ufahamu ww timu zote duniani zinaendeshwa na watu ktk hao watu kunakua na mtu au watu ambao wana nguvu na sauti ya kufanya jambo na ndio maana ata yanga walipita wengi akaja manji kuna mtu aliekua anafanya vyoko kwa manji ,nan anaefanya lolote yanga zaid ya gharib si mulijiita wananchi kisa bakuli leo kiko wap wote upo kwa gharib wa gsm huo ujasir wa kuiita simba timu ya mwarabu unautoa wap ikiwa ata ww unamilikiwa na makoko hao hao
 
Anajitoa ufahamu huyo..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…