maghambo619
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,537
- 1,360
Hamjafanya hata pre season mmejipanga nini? Au kwa kua mmemsajili manara? Ngoja kipute kianze, TFF ,Karia, na waamuzi wanaonekana wabayawadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.
sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.
Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!
kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833