Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
Hamjafanya hata pre season mmejipanga nini? Au kwa kua mmemsajili manara? Ngoja kipute kianze, TFF ,Karia, na waamuzi wanaonekana wabaya
 
Simba wanajifua huko nyie mpo kuuza sura kwenye kideo na magazeti na kuchukua roporopo. Ok league ikianza tusisikie lawama kwa TFF na bodi la ligi. Ufanye maamdalizi F afu utegemee kupata A. Yani usajili wa simba kuufananisha na uto ni marufuku kubwa. Simba imeuza watu 2 na imesajili zaidi ya 8
 
Na kweli mwaka huu yanga wako vizuri,, mana wana watu,, kwa squad hii litakufa jitu,,
Haji mkifirwa
Haji manara
Haji mpili
Ukiachana na jezi kali za mwaka huu na kofi olomide ndani ya nyumba siku ya mwananchi ubingwa naona ulee , wenzetu wanacheza pre session🤔
 
Simba wanajifua huko nyie mpo kuuza sura kwenye kideo na magazeti na kuchukua roporopo. Ok league ikianza tusisikie lawama kwa TFF na bodi la ligi. Ufanye maamdalizi F afu utegemee kupata A. Yani usajili wa simba kuufananisha na uto ni marufuku kubwa. Simba imeuza watu 2 na imesajili zaidi ya 8
cjaona mtu wa maana au anayefikia kiwango cha chama na micqquison

mlosajiri apo ni bure
 
Nilichokipenda kwa Simba ni hii tabia ya kuwa serious na maandalizi ya timu kuliko kuhangaika kumjibu Haji.

Wapenzi wa Yanga Mtaongea weeeee, halafu ukweli utakuja kuonekana uwanjani. Yanga itatolewa CAF raund ya awali na kupoteza mechi tatu za ligi kuu. Simba itatwaa ngao ya jamii, pia itashinda mechi zote za ligi pamoja na kutinga tena Groups stage CAF.
 
ndoto za mchana
 
Umeanzisha mada nikajua unaweza kuihimili. Lete hoja tujadili,upuuzi mmpelekee mama yako jioni ukirudi kula ugali wa bure
Siongei na kula kulala mimi

kama huli vzr apo kwenu nambie niwatumie hela ya kula ww mama yako na bibi yako mlee vzri

kolo ww
 
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
Friendly match kule Morocco mlishind goal ngapi
 
umeona mechi ya yanga hata moja japo ya kirafiki?
 
Inategemea unamaanisha wampejipanga katika nini..Kama ni swala la kuuza "merchandise" kama jezi n.k hapo wamejipangai ili kutimiza lengo la wapiga pesa walioweka pesa yao kwenye Club. Lakini unapozungumzia kucheza mpira kwa kufikia malengo la kubebea vikombe n.k hapo hamna kitu huwezi linganisha na SImba.
 
Frankly speaking naona ndani ya uwanja maandalizi yetu Yanga yanasuasua, na hii inachangiwa na ratiba yetu kuwa ngumu. Timu itakuwa na siku 3 tu za kukaa pamoja baada ya hapo tunakutana na Rivers United.
 
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833

Endelea na “nki-compare” wakati tunakutana ngao ya Jamii mtakuwa tayari nnje ya CL hapo ndipo utacompare vizuri maandalizi ya Simba.
 
Back
Top Bottom