Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

nilijua hautofika mbali. uzi umekuelemea
kamwe mwanaume hatolala na njaa ila atachelewa kula.

uzi mwepesi huu mnaweza kubisha sanaa ila ukweli upo tu

Syo ushabiki bali ni uhalisia
simba hana mobility ya kunyanyua kombe msimu huu
 
kamwe mwanaume hatolala na njaa ila atachelewa kula.

uzi mwepesi huu mnaweza kubisha sanaa ila ukweli upo tu

Syo ushabiki bali ni uhalisia
simba hana mobility ya kunyanyua kombe msimu huu
Kwa kipi we kenge maji?..nyie mshafanywa mizukuleya GSMna hamna ujanja, mara ya kwanza kawadanganya anamleta CHAMA mkakesha mkipost JEZI NAMBA 17, Nugaz akatoka na kusema mkikosa ubingwa muwaulize wao yeye na akina GSM wanaume tukabeba, juzi mmepeleka kesi CAS matokeo tar 24, tar 24 inaitishwa PRESS labda waseme kuhusu Morrison wanamtambulisha SOPE na nyie mkasahaulishwa juu ya CAS hamjakaa vzr mkapewa safari ya MOROCO walipoenda wanaume, mmekaa kambi siku 6 sijui hataechi ya kirafiki hamna mmerudi halafu unajinadi kushindana na mwanaume SSC sheeeenz subir uone damu ya bleed itakavyowatoka kabla ya mwisho wa mwezi kengepori nyie...nyie ni MAZWAZWA.
 
Let's go Dar es Salaam Young African
Here to win everything this season
 
Kwahiyo yanga mnaamini manara ndio analeta mataji jangwani?
Soka la bongo gumu kulielewa.
 
hakika umenena vyema
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jezi wanapromot wachezaji? We we nae!!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…