Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

kamwe mwanaume hatolala na njaa ila atachelewa kula.

uzi mwepesi huu mnaweza kubisha sanaa ila ukweli upo tu

Syo ushabiki bali ni uhalisia
simba hana mobility ya kunyanyua kombe msimu huu
Kwa kipi we kenge maji?..nyie mshafanywa mizukuleya GSMna hamna ujanja, mara ya kwanza kawadanganya anamleta CHAMA mkakesha mkipost JEZI NAMBA 17, Nugaz akatoka na kusema mkikosa ubingwa muwaulize wao yeye na akina GSM wanaume tukabeba, juzi mmepeleka kesi CAS matokeo tar 24, tar 24 inaitishwa PRESS labda waseme kuhusu Morrison wanamtambulisha SOPE na nyie mkasahaulishwa juu ya CAS hamjakaa vzr mkapewa safari ya MOROCO walipoenda wanaume, mmekaa kambi siku 6 sijui hataechi ya kirafiki hamna mmerudi halafu unajinadi kushindana na mwanaume SSC sheeeenz subir uone damu ya bleed itakavyowatoka kabla ya mwisho wa mwezi kengepori nyie...nyie ni MAZWAZWA.
 
Let's go Dar es Salaam Young African
Here to win everything this season
 
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
Kwahiyo yanga mnaamini manara ndio analeta mataji jangwani?
Soka la bongo gumu kulielewa.
 
Kwa kumsajili Haji Manara au wale wacheza ndombolo ndo umeona wamejipanga, ngoja nikukumbushe, Simba ilipomsajili B.M, nyie mkamsajili Senzo, mkasema amekuja na Siri ya ushindi, lkn.... Huku Simba wakambeba B.M akaisaidia kuchukua makombe Mawili, Senzo akashinda kombe la mapinduzi, SASA basi Manara alifukuzwa Simba, ina maana tayari hakuwa na impact yoyote tofauti na kupiga domo, ndo useme mmejipanga? Wenzao SAA hizi Wana Kula tizi wao Wana promote jezi, Kwa hiyo jezi ndo litacheza?
hakika umenena vyema
 
Mwaka jana baada ya kumchukua Senzo mlikuja na ngonjera hizi huku mkishinda Airport na Machera kuwabeba akina Kalinyo.
Mwaka huuu mmmembeba Manara hamtaki kufanya Preason prep, mnashinda Studio kurekodi Jingoz za Papaaa Ngwasuma ujio wa Koffiii halafu Mnabwabwaja ooooh Mwaka huu Utopolo blaaaa blaaaaa kuliko Thimba!
Amkeni kumekucha, Senzo na Manara na hao wapaka PICCO wenu Ndombolo ya Sollo si kitu wala Lolote kwa Kanoute na SAKHO et al time will tell. Wacongo watamezwa na starehe za Kibongo fastaaaa hasa yule beki wenu Bangala ni Mlevi zaidi ya MALIMI BUSUNGU[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
IMG_4525.jpg

IMG_4504.jpg

IMG_4503.jpg
 
Kwa kumsajili Haji Manara au wale wacheza ndombolo ndo umeona wamejipanga, ngoja nikukumbushe, Simba ilipomsajili B.M, nyie mkamsajili Senzo, mkasema amekuja na Siri ya ushindi, lkn.... Huku Simba wakambeba B.M akaisaidia kuchukua makombe Mawili, Senzo akashinda kombe la mapinduzi, SASA basi Manara alifukuzwa Simba, ina maana tayari hakuwa na impact yoyote tofauti na kupiga domo, ndo useme mmejipanga? Wenzao SAA hizi Wana Kula tizi wao Wana promote jezi, Kwa hiyo jezi ndo litacheza?
Jezi wanapromot wachezaji? We we nae!!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom