Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

MIMI NAONA KAJIPANGA ZAIDI YA PSG NA WAPANGAJI WENZAKE WOTE PALE CONGO DRC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ukiwasikiliza mashabiki wa utopolo mpaka wachezji wao utacheka sana, jana nimesoma mwanaspoti wamemhoji Nchimbi anasema kipa wa yanga wanapata shida kumfunga hivi mchezaji kama Nchimbi msimu mzima anafunga goli moja ndio kipimo cha kujua kama kipa anafungika au la
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mm ni shabiki wa yanga ila daah apa nchimbi katudanganya jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KWENDA MOROCCO KWA SIKU CHACHE, KUTOCHEZA MECHI HATA MOJA AKIWA HUKO. KURUDI KWA MAFUNGU. Ndio kujipanga kwenyewe huko?
 
Pumba nyingi bt ukiwa geto kuna kasauti kanakwambia yanga kiukweli msmu huu wako poa sn na kolo united si wakati wao huu
 
Mmejipanga wakati hadi sasa hamjacheza mech hata moja ya mazoez ?
Hayo hatutaki kujua nyie chezeni hzo ndondo tu kwani nyie mmecheza mechi ngapi si 2 tu tena ya pili wachezaji wengne hawakuwepo kwahiyo hzo ndondo 2 ndo znakufanya uamini kolo united ni bora kuliko yanga eti
 
manara anacheza no. ngap hapo UTOPOLONI?

hivi unafahamu kuwa simba anashika nafasi ya 14 katka ranking ya caf?
Kwahiyo? Ni swala la muda tu hiyo nafasi na ya juu zaidi itatukuta mbele kwa mbele sisi tunapambana nyie kalieni kelele za nafasi ya 14
 
Kama ubingwa ni ule wa mapinduzi ila ligi kuu mtabaki kushiriki tu, na team hii hata hilo la mapinduzi mtalisikia redioni tu

Afu kocha kaomba kupewa miezi mitatu ili kupata muunganiko wa timu maana kasajiliwa unwanted and unqualified players.
Kolo huyoo kwny ubora wako haya tumekuskia mr kolo united
 
Na bado makolo nyie ni swala la muda leo makolo united ndo kusema bila chama mnaweza wafunga ruvu shooting au prisons haya tunawasubiri
 
Bumbuli kathibitisha kama nani?

Msemaji wa club?

Timu kubwa haitangazi vitu vya hovyo, ila iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda
Kama hii timu kubwa mwamed alipoitisha conference akasema leo kaweka bil 20 wkt kashika fake cheque na mambumbu mkashangilia
 
Umeanzisha mada nikajua unaweza kuihimili. Lete hoja tujadili,upuuzi mmpelekee mama yako jioni ukirudi kula ugali wa bure
Kolo acha hasira maana hukaa kifuani mwa mpumbavu kolo jifunze kuwa na hekima bhana kolo ww


Mnavyotuitaga utopolo hata kwny mambo yenye hoja huwa mmelewa umbumbu au

Kolo ww
Jinga jinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…