Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
KOLO katika ubora wakoPori jipya ila nyani ni wale wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KOLO katika ubora wakoPori jipya ila nyani ni wale wale
MIMI NAONA KAJIPANGA ZAIDI YA PSG NA WAPANGAJI WENZAKE WOTE PALE CONGO DRC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.
sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.
Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!
kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
ndioMkuu wewe ni muhaya? Sorry
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwasikiliza mashabiki wa utopolo mpaka wachezji wao utacheka sana, jana nimesoma mwanaspoti wamemhoji Nchimbi anasema kipa wa yanga wanapata shida kumfunga hivi mchezaji kama Nchimbi msimu mzima anafunga goli moja ndio kipimo cha kujua kama kipa anafungika au la
mm ni shabiki wa yanga ila daah apa nchimbi katudanganya jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukiwasikiliza mashabiki wa utopolo mpaka wachezji wao utacheka sana, jana nimesoma mwanaspoti wamemhoji Nchimbi anasema kipa wa yanga wanapata shida kumfunga hivi mchezaji kama Nchimbi msimu mzima anafunga goli moja ndio kipimo cha kujua kama kipa anafungika au la
Thank you....upo karibu na bia nikutumie barThis is time for Yanga. God bless Young Africans SC
KWENDA MOROCCO KWA SIKU CHACHE, KUTOCHEZA MECHI HATA MOJA AKIWA HUKO. KURUDI KWA MAFUNGU. Ndio kujipanga kwenyewe huko?wadau habari?
naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.
sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.
Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!
kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
Pumba nyingi bt ukiwa geto kuna kasauti kanakwambia yanga kiukweli msmu huu wako poa sn na kolo united si wakati wao huuKajipanga kwenye nini? Maana kama ni maandalizi ya kikosi/timu Yanga kaachwa mbali sana maana mpaka wachezaji wapate fitness na muunganiko, tayari Simba watakuwa wako mbali maana mpaka sasa wametumia muda mwingi kutengeneza timu kwa mazoezi na mechi za majaribio. Sasa sijui huko kujipanga kwa Yanga kupo kwenye nyanja ipi hasa?
Leo ndo mnajua vtendo eti eeehSio wachezaji tu hata mashabiki tumepoa unajua kwanini? Tumegundua sisi ni team bora acha vitendo viongee.
Hayo hatutaki kujua nyie chezeni hzo ndondo tu kwani nyie mmecheza mechi ngapi si 2 tu tena ya pili wachezaji wengne hawakuwepo kwahiyo hzo ndondo 2 ndo znakufanya uamini kolo united ni bora kuliko yanga etiMmejipanga wakati hadi sasa hamjacheza mech hata moja ya mazoez ?
Kwahiyo? Ni swala la muda tu hiyo nafasi na ya juu zaidi itatukuta mbele kwa mbele sisi tunapambana nyie kalieni kelele za nafasi ya 14manara anacheza no. ngap hapo UTOPOLONI?
hivi unafahamu kuwa simba anashika nafasi ya 14 katka ranking ya caf?
Kolo huyoo kwny ubora wako haya tumekuskia mr kolo unitedKama ubingwa ni ule wa mapinduzi ila ligi kuu mtabaki kushiriki tu, na team hii hata hilo la mapinduzi mtalisikia redioni tu
Afu kocha kaomba kupewa miezi mitatu ili kupata muunganiko wa timu maana kasajiliwa unwanted and unqualified players.
Na bado makolo nyie ni swala la muda leo makolo united ndo kusema bila chama mnaweza wafunga ruvu shooting au prisons haya tunawasubiriVery simple mkuu, kabla ya ujio wa Chama msimu uliokuwa nyuma yake Simba alikuwa bingwa, kabla ya ujio wa Kondeboy Simba alikuwa bingwa, Kwa maana hiyo kutoka kwao pia, Simba BDO atazidi kuwa bingwa...Simba huwa inatengeneza mchezaji mkubwa yenyewe, mwisho wa msimu uniulize Hilo swali tena.
Kama hii timu kubwa mwamed alipoitisha conference akasema leo kaweka bil 20 wkt kashika fake cheque na mambumbu mkashangiliaBumbuli kathibitisha kama nani?
Msemaji wa club?
Timu kubwa haitangazi vitu vya hovyo, ila iliitisha press kwa ajili ya kuzindua kalenda
Kolo acha hasira maana hukaa kifuani mwa mpumbavu kolo jifunze kuwa na hekima bhana kolo wwUmeanzisha mada nikajua unaweza kuihimili. Lete hoja tujadili,upuuzi mmpelekee mama yako jioni ukirudi kula ugali wa bure
Kolo hilo achana naloSiongei na kula kulala mimi
kama huli vzr apo kwenu nambie niwatumie hela ya kula ww mama yako na bibi yako mlee vzri
kolo ww