Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Kapumbu kapiga teke sinia la ubwabwa vip mod huu uzi tunaufuta au tuna hide [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],Zanaco wamejua kuwanyamazisha Utopolo.Manara kimyaaa,mbwembwe zote zimezimwa na Kapumbu[emoji1787][emoji1787]
 
Kama ubingwa ni ule wa mapinduzi ila ligi kuu mtabaki kushiriki tu, na team hii hata hilo la mapinduzi mtalisikia redioni tu

Afu kocha kaomba kupewa miezi mitatu ili kupata muunganiko wa timu maana kasajiliwa unwanted and unqualified players.
Bado Ni unwanted na unqualified?
 
Linapokuja suala la simba vs yanga: Simba hucheza chini ya kiwango na Yanga hucheza juu ya kiwango. Kwa hiyo huwezi kupima viwango halisi vya timu hizi kwa kuangalia mechi baina yao!! Hata msimu uliopita kwenye ligi wakati Simba ikiwa katika ubora wake, lakini iliangukia pua ikapigwa na yanga!! Hata msimu huu simba itafungwa na yanga lakini bado itanyakua ubingwa na itafika mbali zaidi caf champios league,
 
Kweli unafiki ni kipaji,leo hii wanasimba wote wanasema eti wao Derby huwa hawaiwezi vizuri but wangeshinda wasingeongea haya. Tabu Ipo Pale Pale.
 
Ni mawazo yako ila kiukweli bado sana msilewe na ushindi wa goli moja tena derby hapa ni bahati tu na uzembe wa upande wa pili kukosa umakini golini na ushirikina wa timu zote kwenye derby.
Hadi sasa simba bado ni bora na uthibitisho huu utauona caf champions afrika timu inaingia makundi.
 
Vp kuhusu muunganiko wa Yanga
 
Mkuu, vipi huu utabiri wako....., ULI-TICK?
 
😁 πŸ˜… πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…