Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Kapumbu kapiga teke sinia la ubwabwa vip mod huu uzi tunaufuta au tuna hide [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],Zanaco wamejua kuwanyamazisha Utopolo.Manara kimyaaa,mbwembwe zote zimezimwa na Kapumbu[emoji1787][emoji1787]
 
Kama ubingwa ni ule wa mapinduzi ila ligi kuu mtabaki kushiriki tu, na team hii hata hilo la mapinduzi mtalisikia redioni tu

Afu kocha kaomba kupewa miezi mitatu ili kupata muunganiko wa timu maana kasajiliwa unwanted and unqualified players.
Bado Ni unwanted na unqualified?
 
Linapokuja suala la simba vs yanga: Simba hucheza chini ya kiwango na Yanga hucheza juu ya kiwango. Kwa hiyo huwezi kupima viwango halisi vya timu hizi kwa kuangalia mechi baina yao!! Hata msimu uliopita kwenye ligi wakati Simba ikiwa katika ubora wake, lakini iliangukia pua ikapigwa na yanga!! Hata msimu huu simba itafungwa na yanga lakini bado itanyakua ubingwa na itafika mbali zaidi caf champios league,
 
Linapokuja suala la simba vs yanga: Simba hucheza chini ya kiwango na Yanga hucheza juu ya kiwango. Kwa hiyo huwezi kupima viwango halisi vya timu hizi kwa kuangalia mechi baina yao!! Hata msimu uliopita kwe ye ligi wa,ati Simba ikiwa katika ubora wake, lakini iliangukia pua ikapigwa na Simba!! Hata msimu huu simba iafungwa na yanga lakini bado ita hjkua ubingwa na itafika mbali zaidi caf champios league,
Kweli unafiki ni kipaji,leo hii wanasimba wote wanasema eti wao Derby huwa hawaiwezi vizuri but wangeshinda wasingeongea haya. Tabu Ipo Pale Pale.
 
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
Ni mawazo yako ila kiukweli bado sana msilewe na ushindi wa goli moja tena derby hapa ni bahati tu na uzembe wa upande wa pili kukosa umakini golini na ushirikina wa timu zote kwenye derby.
Hadi sasa simba bado ni bora na uthibitisho huu utauona caf champions afrika timu inaingia makundi.
 
Kajipanga kwenye nini? Maana kama ni maandalizi ya kikosi/timu Yanga kaachwa mbali sana maana mpaka wachezaji wapate fitness na muunganiko, tayari Simba watakuwa wako mbali maana mpaka sasa wametumia muda mwingi kutengeneza timu kwa mazoezi na mechi za majaribio. Sasa sijui huko kujipanga kwa Yanga kupo kwenye nyanja ipi hasa..
Vp kuhusu muunganiko wa Yanga
 
Ni mawazo yako ila kiukweli bado sana msilewe na ushindi wa goli moja tena derby hapa ni bahati tu na uzembe wa upande wa pili kukosa umakini golini na ushirikina wa timu zote kwenye derby.
Hadi sasa simba bado ni bora na uthibitisho huu utauona caf champions afrika timu inaingia makundi.
Mkuu, vipi huu utabiri wako....., ULI-TICK?
 
😁 😅 😅

Back
Top Bottom