Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Tuseme ukweli: Msimu huu Yanga kajipanga kuliko Simba

Wakati tunawapiga goli 2 huku tuna kadi nyekundu CHAMA na miquisson walikuwepo?
Hayo hatutaki kujua sawa ww kolo

Lijinga lijinga ww
JamiiForums-739198275.jpg
 
Sisi tunataka VIKOMBE na UBINGWA we mamako akitongozwa na Mo atakataa??..kwa mama mbali wewe mwenyewe Mo akitaka mzigo hutoi?
Kolo acha jazba we unataman kuchumbiwa uolewe na mwananchi ila unakuwa na hasira legeza sauti hiyo upate mume
FB_IMG_16300485322312855.jpg
 
Wanaume tumetulia tupo zetu Moroco MAKAHABA MNA KAZI YA KUZUNGUKA MEDIA na kubwabwaja tuu...sisi siyo levo zenu makima nyie
Hakuna mwanaume mwny mdomo kama wako bs utakuwa bwabwa sa legeza tako hilo upate basha la kiananchi
JamiiForums-739198275.jpg
 
Nimegundua kwenye huu uzi kuna utoto mwingi sana hasa kwa mleta mada.
Mleta mada anadai kambi ya simba imepoa sana hasa baada ya chama na miquissone kuondoka.
Hivi kabla ya hao akina chama na miquissone simba ilikuwa haipo? Au baada ya manara kuondoka simba itakufa?
Baada ya akina chama na miquissone kuondoka wachezaji wa simba hawana miguu?
Kweli common sense is not common to all.
Kuwa shabiki wa utopolo ni mzigo
 
Bado ni mapema sana kuzungumzia ilo, tuwe na subira tutajua mbivu na mbichi ligi ikianza.
wadau habari?

naenda straight to the point ,kwa tathmini ya haraka haraka nki-compare kupitia chambuzi ,news and updates na sports club official apps and pages kati ya Simba na Yanga ,inaonekana dhahiri shahiri kuwa yanga wamejipanga haswa.

sina shaka na wao kunyakua ubigwa wao msimu huu utakaoanza hivi karibuni ,ukiaachilia mbali haji manara kutua klabuni apo.

Kama nakosea mtanikosoa but this is true guys !!!

kama mnanibishiaa save huu uzi mtanikumbuka mwakan mwez wa 5
View attachment 1910833
 
Ushahidi unaonesha nini?
Unaonesha kwba mfano wa hundi si lazima uandikwe jina la Benki kama ambavyo UTOPOLO wanaaminishwa kwamba hela haijawekwa kwa sababu hilo bango halina jina la BENKI.
 
Unaonesha kwba mfano wa hundi si lazima uandikwe jina la Benki kama ambavyo UTOPOLO wanaaminishwa kwamba hela haijawekwa kwa sababu hilo bango halina jina la BENKI.
Sawa nadhani wamekuelewa
 
Vipi Mzee wa “nki compare” umeona dalili ya Mnvua ni mawingu,hii ndiyo Yanga sasa tunayoifahamu sote
 
Kapumbu kapiga teke sinia la ubwabwa vip mod huu uzi tunaufuta au tuna hide 😁😁😂😂
 
Back
Top Bottom