PreGE2025 Tuseme ukweli, mwanachama wa CCM, akifungua kesi dhidi ya Wadhamini wa CCM, Mahakama itakipiga marufuku CCM kufanya shughuli zake kesi ikiendelea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.

Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?

Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.

Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
 
Jaji wa mama......

FB_IMG_1749561926263.jpg
 
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?

Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu
Nchi ya Amani na utulivu si ndo wimbo wenu, ndo mtasjua kwanini nchi zingine zinapigana vita a wenyewe kwa wenyewe
 
I have a strong feeling Tanzania imeingiliwa na mamluki katika uongozi wa nchi ambao wapo kwa ajili ya kuihujumu nchi huku wakidai wao ni voingozi wenye interest na Tanzania. Hii si bure.
 
Nchi ya Amani na utulivu si ndo wimbo wenu, ndo mtasjua kwanini nchi zingine zinapigana vita a wenyewe kwa wenyewe
Tanzania ilikuwa nchi ya amani na utulivu....not anymore. And the worst is yet to come.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.

Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?

Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.

Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
Kachukue kadi ya kidijitali ya CCM kisha kafungue kesi tuone.
 
Mimi sijaelewa mantiki ya kusimamisha shughuri za chama.
Wakati kesi bado inaendelea.
Yaani Jaji amelenga nini?
 
Tulishaambiwa Nchi hii Mahakama haiko huru! Yaani mtu mmoja wa Serekali ana uwezo wa kupiga simu na kumuelekeza Jaji nani wa kumpa haki na nani wa kumnyima haki!
 
Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.

Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?

Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.

Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
Wanachama wa.zanzibari, wanamtete mzanzibari mwenzao,ni wawakilishi wa.mzanzibari
 
Attachments

  • FB_IMG_1749561926263.jpg
    FB_IMG_1749561926263.jpg
    39.9 KB · Views: 26

Unaefungua kesi kesho haupo duniani
 
Suala la kisheria halibishaniwi.Chadema mmewabagua wa Zenji.Ruzuku mle wote
 
Back
Top Bottom