Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Nchi ya Amani na utulivu si ndo wimbo wenu, ndo mtasjua kwanini nchi zingine zinapigana vita a wenyewe kwa wenyeweUnajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?
Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu
Tanzania ilikuwa nchi ya amani na utulivu....not anymore. And the worst is yet to come.Nchi ya Amani na utulivu si ndo wimbo wenu, ndo mtasjua kwanini nchi zingine zinapigana vita a wenyewe kwa wenyewe
Tangu lini ikiwa nchi ya utulivu na Amani au nchi ya watu wasio tambua haki zao na kuzipigania.......imejaa watu waoga na washambaTanzania ilikuwa nchi ya amani na utulivu....not anymore
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
Kachukue kadi ya kidijitali ya CCM kisha kafungue kesi tuone.Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?
Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.
Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
Tulishaambiwa Nchi hii Mahakama haiko huru! Yaani mtu mmoja wa Serekali ana uwezo wa kupiga simu na kumuelekeza Jaji nani wa kumpa haki na nani wa kumnyima haki!Mimi sijaelewa mantiki ya kusimamisha shughuri za chama.
Wakati kesi bado inaendelea.
Yaani Jaji amelenga nini?
Wanachama wa.zanzibari, wanamtete mzanzibari mwenzao,ni wawakilishi wa.mzanzibariUnajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?
Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.
Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
Unajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?
Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.
Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
Itakuwa maagizo toka juu tuMimi sijaelewa mantiki ya kusimamisha shughuri za chama.
Wakati kesi bado inaendelea.
Yaani Jaji amelenga nini?
Unaefungua kesi kesho haupo dunianiUnajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.
Sasa tuje upande wa hawa wanachama wawili wa Zanzibar waliofungua kesi dhidi ya Chadema, na Mahakama kuamuru shughuli za Chadema zisimamishwe wakati kesi hii ikiendelea. Hivi kweli leo mwanachama wa CCM akifanya hiki kilichofanywa na hawa wanachama wawili, wanaodaiwa kuwa wanachama wa Chadema, Mahakama itaamuru CCM wasimamishe shughuli zao?
Huu ni uonevu unaovuka mipaka haupaswi kuvumiliwa na mtu yeyote mwenye akili timamu. Ni wazi kuna mtu yuko nyuma ya uonevu huu usiovumilika, hata akidai yeye ni kiongozi mzalendo, haitakii mema nchi yetu Tanzania.
Imefikia wakati tuanze kujiuliza kama kuna mamluki wamejipenyeza na kushika uongozi wa nchi, kwa lengo la kuihujumu Tanzania. Tunakumbuka kuwa baada ya Mapinduzi ya Zanzibar ya 1964, wale walioondolewa katika mapinduzi yale waliahidi wangerudi Tanzania kwa namna moja au nyingine na kulipiza kisasi, na ndio maana hawajali utekaji, uuaji au vifo vya Watanzania. Tuna mamluki hawa katika uongozi wa taifa?
Suala la kisheria halibishaniwi.Chadema mmewabagua wa Zenji.Ruzuku mle woteUnajua mambo mengine yanafanywa kwa maagizo ya serikali dhidi ya vyama vya upinzani, hususa Chadema, kwa njia ya kitoto sana. Tunajua katika suala la haki za msingi zinapotafutwa mahakamani, huwezi kumwadhibu mtu wakati kesi haijaisha.