PreGE2025 Tuseme ukweli, mwanachama wa CCM, akifungua kesi dhidi ya Wadhamini wa CCM, Mahakama itakipiga marufuku CCM kufanya shughuli zake kesi ikiendelea?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Thubutuuu. CCM wanajiona wapo juu ya sheria
 
Hiki ni chama cha siasa kinachoongoza nchi we mburula, wala sio chama cha wabelgiji.
 
Your browser is not able to display this video.
 
 
Ccm ni chama cha siasa, na sio wanaharakati, unaelewa??
 
Hayo ni maelekezo kutoka juu, wao walidhan No reforms no election ni utan sasa waneshangaa wananchi wameipokea na kuielewa haraka kuliko walivyotaraji
Sasa wamebun mbinu ya namna ya kuzuia hii elimu isiendelee kusambaa zaidi maana Wanaona kila hujuma wanayoifanya inafeli Kiki za derby zimeshindwa kuifuta, Ndoa za wasanii wa Ccm nazo zimeshindwa ,vurugu kwenye mikutano ya CDM bdo wananchi wameendelea kuwadhibiti wavurugaji kwahy ktk mazingira kama hayo ulitegemea wenye hofu ya kupoteza madaraka watafanya nini zaidi ya kuiangukia MAHAKAMA?
 
Rostam alishamaliza kila kitu kwa ile kauli yake
 
Chizi ni mtu ambaye ukimweka na watu 100, ataona wote wanafanya mambo kinyume na akili isipokuwa yeye. Na ikiwa kuna mtu katika watu mia atakuwa na maana tofauti ya wanaharakati kulinganisha na wengine 100, tutamwitaje?
 
Chizi ni mtu ambaye ukimweka na watu 100, ataona wote wanafanya mambo kinyume na akili isipokuwa yeye. Na ikiwa kuna mtu katika watu mia atakuwa na maana tofauti ya wanaharakati kulinganisha na wengine 100, tutamwitaje?
Lissu ana faili milembe, ni kichaa. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…