Tuseme ukweli Uganda na hasa Kenya kuna maeneo yamesahulika kabisa

Tuseme ukweli Uganda na hasa Kenya kuna maeneo yamesahulika kabisa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Tuanze na Kenya maana huko ndo kunatisha kabisa.Kenya imeweza kufika mbali kimaendeleo kwenye mambo mengi ila cha kuchekesha maendeleo hayo yapo sehemu chache sana.

Kuna sehemu kaunti za Kenya hata waziri wa mambo ya ndani ajui kinachoendelea kufikia vikundi vinamiliki silaha za kisasa. Ikifikia mpaka nchi inatumia jeshi badala ya polisi kwenye mambo madogo ni tatizo kubwa ndio Kenya huko sehemu kubwa za kaunti Kenya huduma hakuna kabisa ni kama wapo porini wengine wala hakun kinachoendelea.

Kenya imajari sana maeneo machache sana na ndio hayo ukisikia kwenye tv na internet media unaweza kujua Kenya nzima.

Uzuri wa nchi yetu japo na umaskini wetu unaongozwa na ccm kuna chochote kila kona kilichopo tanzania nzima ukilinganisha na kenya. Mpaka leo 2023 kuna maeneo Kenya leo tukisema kushindanisha kaunti zao zilizosaulika na mkoa mmoja wa anzania tuseme lindi tu basi lindi inaweza kushinda kila kitu.
 
Turkana, Wajir, Garissa, Marsabit, Samburu, Tana River, Isiolo, Laikipia na KIBERA hao wakunya wanajua kuongea tu
 
Back
Top Bottom