Pre GE2025 Tuseme ukweli wa Mungu upinzani wasipogangana baadhi ya vifungu vya uchaguzi vikabadilishwa nayaona ya 2020

Pre GE2025 Tuseme ukweli wa Mungu upinzani wasipogangana baadhi ya vifungu vya uchaguzi vikabadilishwa nayaona ya 2020

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Joined
Sep 11, 2024
Posts
30
Reaction score
70
Mimi kama mtumishi wa serikali nimesimamia uchaguzi toka 2010 mpaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa.

Mwaka 2020 wakurugenzi walitukusanya wasimamizi wakuu na kutupa muongozo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufanyika. Msimamizi mkuuu unaelezwa kinaga ubaga mgombea wa CCM ngazi ya udiwani,ubunge na uraisi anatakiwa kushinda kwa asilimia ngapi kwenye kituo chako.

Na sisi waajiriwa tunatii kauli ya muajiri akisema kituo chenye wapiga kura 450 CCM inatakiwa kupata kura 400 lazima upambane zipatikane. Wanakwambia ukiona unashindwa kwa sababu zilzopo nje ya uwezo wako wapigie simu.

Sasa mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa nayo imekuwa hivyo hivyo,mkurugenzi anawapa masharti mnatakiwa kuyafuata kuakikisha kura za kishindo zinapatikana. Kwa mwaka 2025 sioni utofauti kabisaa ,najua tutaambiwa hivyohivyo tutekeleze maagizo kwenye kituo chako hakikisha mbunge wa CCM anapata kura za kutosha.

Wapinzani inawezekana wakapata majimbo mawili kama sio matatu.Chamsingi waungane waanze harakati mapema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka wakurugnzi waondolewe kusimamia uchaguzi.
 
Mm kama mtumishi wa serikali nimesimamia uchaguzi toka 2010 mpaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa.Mwaka 2020 wakurugenzi walitukusanya wasimamizi wakuu na kutupa muongozo na utaratibu wa nini kinatakiwa kufanyika.Msimamizi mkuuu unaelezwa kinaga ubaga mhombea wa CCM ngazi ya udiwani,ubunge na uraisi anatakiwa kushinda kwa asilimia ngapi kwenye kituo chako.Na sisi waajiliwa tunatii kauli ya muajili akisema kituo chenye wapiga kura 450 CCM inatakiwa kupata kura 400 lazima upambane zipatikane.Wanakwambia ukiona unashindwa kwa sababu zilzopo nje ya uwezo wako wapigie simu. Sasa mwaka 2024 uchaguzi wa serikali za mitaa nayo imekuwa hivyo hivyo,mkurugenzi anawapa masharti mnatakiwa kuyafuata kuakikisha kura za kishindo zinapatikana.Kwa mwaka 2025 sioni utofauti kabisaa ,najua tutaambiwa hivyohivyo tutekeleze maagizo kwenye kituo chako hakikisha mbunge wa CCM anapata kura za kutosha.Wapinzani inawezekana wakapata majimbo mawili kama sio matatu.Chamsingi waungane waanze harakati mapema kuwa hawatashiriki uchaguzi mpaka wakurugnzi waondolewe kusimamia uchaguzi.
Unafikiri ni rahisi kiasi gani,kwani hata wahitaji ajira wanahongo kijinga ili wawawezeshe watwawala kuendelea kuwanyonya na kuwadidimiza na kuwafanya watumwa wakileo.Ili wapate wanachokihitaji shurti wafanye kadhaa wapate kadhaa.!
 
Back
Top Bottom