Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

Niolewe mara ngapi? Mie nimeshaolewa, na ndoa juu plus sherehe, na ndoa yangu iko vizuri zaidi ya jana.
Tunza sana hiyo zawadi......wengi wamekosa na wengine wamekata tamaa hata kabla ya mchakato wenyewe wa ndoa..

Nb, wanaume na wanawake ni wengi sana, ila waowaji na waolewaji hawapo.
...the world we're living in .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na Mume.

Harusi ni sherehe kwa ajili ya kufunga ndoa.
 
😂😂 halafu mtu anakutishia husipo oa unakuwa bado sio mwanaume kamili sijui wanadhani bado hatujawaelewa gas lighiting
Ndo ivo mkuu afu mtu ukisema huoi mtu wa namna hiyo unaambiwa mwanaume hujiamini😂😂. Hata makomando wenyewe pamoja na kujiamini kwao koote hawawezi kumbatia bomu aisee.
 
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu nimecheka sana, hasa baada ya kuona neno "chapati kama amoeba" Nimejaribu tu kufananisha entamoeba histolytica na chapati. Daaah big up sana mzee
 
Chapati ziko Kama amoeba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa Ndoana
Nyani Katema Bungo

~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Msondo
 
Back
Top Bottom