Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

Ndo Maana mimi kadri siku zinqvyozidi kusonga matumaini ya kuoa yanapungua deileeeee
-Oa uanze kuchapiwa.
-Oa mgawane hiyo subwoofer unavyomiliki
-Oa upate stress
 
Kinachoniacha nimeshika mdomo ni pale naposhuhudia ndoa za fahari sana zikivunjika upesi huku zile za sogea tuishi zikidumu japo ugali kwa chai ya chumvi...

Mkuu mimi niko kwenye mchakato hapa, nimelipa mahali ila Nilimwambia Bibie kuwa mimi sifanyi sherehe mpaka nitakapo pata pesa ya kugharamia sherehe yangu bila kuchangisha watu. Akakibali so sasa hivi naishi naye, wazazi wake wanajua baadae kutakuwa na harusi ila kiuhalisia hakuna Harusi.
Sipendi harusi yaani basi tu mzee
 
Duuuh mzee angalia baadae usije ukaanza kupigiwa kelele na mkeo, lazima tu atakumbusha, Mbona hatufanyi harusi?
 
Duuuh mzee angalia baadae usije ukaanza kupigiwa kelele na mkeo, lazima tu atakumbusha, Mbona hatufanyi harusi??

Naelewa hili, tutafanya kama atalazimisha huko mbeleni. Ila asipokazana ndio tumemaliza.
 
Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa
Wanawake akili zao wanazijua wenyewewe tu mimi huwa namshukuru sana yule kiongozi aliyeanzisha msemo wa "mwanaume tafuta pesa tu"
 
Mzee una mpango wa kuoa
 
Au tuseme ndoa za sasa ni mpango wa kuchangishana kama kikoba lkn yule anaeolewa ndio anapokea hicho kilichopatikana?
 
Au tuseme ndoa za sasa ni mpango wa kuchangishana kama kikoba lkn yule anaeolewa ndio anapokea hicho kilichopatikana?
Itabidi tuwekeane masharti ya kurudishiwa michango yetu ndoa inapo vunjika
 
Nimesoma tu tittle bila contents. Uko sahihi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…