TUSHAURIANE VEMA HAPA

TUSHAURIANE VEMA HAPA

Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali
Hujamlamba?😳
Miaka mi3?

Haya ulikuwa na sababu gani kutomlamba?
 
Tulikubaliana akimaliza nimuoe

Okay piga chini huyo hamna mwanamke hapo huyo manzi ana mtu wake wanapendana kwaiyo anasingizia wazazi wamemwambia asubir

Hakuna mzazi ambaye anaweza mwambia mtoto wake wakike graduate wa chuo kwamba asubir subir kwanza asiolewe nakat muoaji yupo na yupo tayari kumchumbia binti yao hakuna mzazi wa hivyo chekecha akili chukua maamuzi mapema
 
Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali

Kwel cha mgema uliwa na mlevi🥹
 
Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali
Mnateswa na mapenzi kwa sababu mnataka mademu wanaosifiwa na kila mtu kwamba ni mzuri sana

Kuna hii class ya medium ladies huwa sio wazuri sana wala wabaya sana

These are my thing coz sio expensive sana na mara nyingi wanajiheshimu cz competition sio kubwa kama hao wenu.
 
Nilimpata nikiwa mwaka wa tatu yeye wa kwanza. 2019
Nilimwandaa ili nimuone akimaliza chuo 2022 lakini amekuwa akiniambia wazazi wake wamesema atulie kidogo. Sijamlamba hadi leo sijui nifanyeje maana namkubali
Ukiona manyoya jua kashaliwa
 
Back
Top Bottom