Tushauriane zawadi ya Valentine's Day isiyozidi Tsh 20,000/=

Umeongea point tupu mkuu,asante kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali nimechukulia positive tu,halafu kuitana Mkuu ni kawaida tu bila kujali chochote maana hatujuani[emoji3]
Sorry boo i didn’t aim to bother you ulivyo niita mkuu and i am sure mie ni dogo lako [emoji3][emoji3]


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepanga kupika pilau na nyama ya kuku tule na familia yetu kisha tutoke out as a family yani mm, mume, watoto 2, na mfanyakazi mpk Coco beach.
Kisha turudishe familia nyumba then nitoke out na Mr (we have car-BMW 320i) hapo nishachukua Ky, na Mkongo nimemnunulia) tunaenda kwa lodge ambayo ina bar tunakunywa Wine hapo Bar then tunazama room.
Waooh! kinachoendelea huku SIRI YANGU...
 
Mkuu nadhani ndani ya hii miaka miwili zawadi ishaongezeka na kufikia 50K. [emoji3]
Hali bado si shwari sana acha tubakie hapo,ikipanda kuna wapenzi hawataambulia kitu[emoji28]
 
Safi,maandalizi mazuri
Ila kwanini umemnunulia Mr Mkongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…