Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
- Thread starter
- #161
Umeongea point tupu mkuu,asante kwa ushauriHamna zawadi nzuri kama KUongea Face to Face na umpendae
tumezoea kupigiana simu kwasababu hatukai pamoja sasa hii siku
ibadilishe,mtafute Mtoe OUT mpeleke sehemu yyte nzuri tulivu unayoijua
kanyweni hata glass 1 moja ya juice sehemu yenye hadhi na assume
glass itakua 5000 x 2 = 10,000 kisha 5000 ingine iwe nauli yenu go n return
wakati mnaachana Mwambie Kwa upole na upendo Baby i have this amount for you
itumie kwa ajli ya Nauli kurudi home,sina zaidi mpenzi wangu Siku moja nitakupa
nyingi na zaidi ya hii Love. Kisha msindikize akapande DalaDala/Bodaboda.
ONYO: Msi fanye mapenzi hii siku,acha ipite itumie ku spend nae mahali na zawadi
kubwa ya hii siku iwe ni maneno matamu na mazuri,mdekeze kuliko siku zote zile.
Sent using Jamii Forums mobile app