sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hongera na wewe kwa kuvaa barakoa kubwa ila nzuri ila kubwa.🤣Hongera zake
Hayo sie hayatuhusu coz yeye ndio mwenye mkataba. Sie tumpe hongera tu bossPesa hiyo ya YouTube analipwa asilimia ngapi?
Estimated to 55+ millionsPesa hiyo ya YouTube analipwa asilimia ngapi?
Kibongo bongo kwa view 1000 0.5usdView moja bei gani mkuu? nataka nianze kujikongoja
Ngoja wadananda wabobezi wakucheza na masifuri waje.Pesa hiyo ya YouTube analipwa asilimia ngapi?
Elfu 1 au 1? kama vile nahisi umekoseaKibongo bongo kwa view 1000 0.5usd
Elfu Moja a.k.a Buku.Elfu 1 au 1? kama vile nahisi umekosea
Ok, si haba kakunja 500USDElfu Moja a.k.a Buku.
Sherekea mafanikio yake, kuhusu analipwa asilimia ngapi hiyo ni yeye na management yake.Pesa hiyo ya YouTube analipwa asilimia ngapi?
Inategemea viewer anatokea wapi.View moja bei gani mkuu? nataka nianze kujikongoja
JamiiForums sio Mello wala Mike, JF ni sisi members.Unasema sisi kama Jamii forums as if wewe ndio mmiliki wa JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea viewer anatokea wapi.
Ahsante biringanya...nikutengenezee kubwa ya kuziba uso wako unaotisha?Hongera na wewe kwa kuvaa barakoa kubwa ila nzuri ila kubwa..🤣
🤣🤣 Mimi natisha mimi? Ungelijua nilivyo handsome walahi usingeandika ulichoandika! Mungu akusaidie tu, baki na barakoa yako..😜Ahsante biringanya...nikutengenezee kubwa ya kuziba uso wako unaotisha?