mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ukijibiwa ni tagPesa hiyo ya YouTube analipwa asilimia ngapi?
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukijibiwa ni tagPesa hiyo ya YouTube analipwa asilimia ngapi?
Wewe unafaidika nini mzee hapoMwenzio anazidi kufanikiwa wewe umebaki unaugulia roho mbaya yako na maisha yako magumu.
Na wewe unapungukiwa nini huyu binti akifanikiwa?
Wenye mafanikio awakunjagi kwenye riziki za watu. Kubali tu mkuu life imekuchapa.Mafanikio niliyonayo yananitosha kiasi mbatataa nkubwa
Muda unaoutumia hapa kupunguza maumivu ya msoto wa maisha. Ungeuza hata vitunguu upate uhakika wa kula.Halafu na hili niliweke sawa hapa
Huyu si kaajiliwa na diamond na diamond ana boss wake anaye mmeneji
Sasa dogo akipata pesa hela inapitia kwa boss mtasha ikitoka hapo inaenda kwa muajiri wake diamond baada ya hapo vile vimichuzi ndio vinamfikia huyu
Hivi vimichuzi wengi havijawasaidia chochote, madogo ujana unawapumbaza hawana vision ya mbali wameridhika na mgao finyu ambao umeshindwa kukidhi kodi ya nyumba mpaka wametimuliwa
So wcb kwa kutengeneza jina na kusaka u fame ni simple sana ila kufanya huo u fame uwe pesa ndicho kilicho mkimbiza yule wanamuita hamolaizer
ni yule dada aliyeimba nyimbo maarufu ya "wapinzani watetereke"ni nani huyu?
Mwarabu fighter.Hivi ananyanduliwaga na nani uyu manzi asee?