Tusherekee views million 100 za Zuchu

Tusherekee views million 100 za Zuchu

Dah!
Yaani hii mitano tena habari zimeisha kabisaa!!
 
Hizo 100ml mbona sizioni naona 3,125,798 tu au kuna Youtube nyingine??
Yani mkusanyiko wa videos zake zooote hadi zile za insta live na vi clip anavyo post kiujumla ndio inafikia hiyo 100M

Usihesabie Hizo video unazoziona zenye views 2M ambazo ziko public zimezidiwa na video ya amberruty ambayo iko privacy....
 
Hayo ni mahesabu ya views ambapo nina imani anavuta kwa %. Hizo kwa ujumla zitakuwa chini ya Wasafi yeye atapokea kulingana na mkataba wake
Halafu na hili niliweke sawa hapa

Huyu si kaajiliwa na diamond na diamond ana boss wake anaye mmeneji

Sasa dogo akipata pesa hela inapitia kwa boss mtasha ikitoka hapo inaenda kwa muajiri wake diamond baada ya hapo vile vimichuzi ndio vinamfikia huyu

Hivi vimichuzi wengi havijawasaidia chochote, madogo ujana unawapumbaza hawana vision ya mbali wameridhika na mgao finyu ambao umeshindwa kukidhi kodi ya nyumba mpaka wametimuliwa

So wcb kwa kutengeneza jina na kusaka u fame ni simple sana ila kufanya huo u fame uwe pesa ndicho kilicho mkimbiza yule wanamuita hamolaizer
 
Usinichambe na wewe kihivyo sasa ndio najua mi sura mbaya sasa nikijiita handsome najifariji nisije jinyonga bure..🤣 we niite tu handsome yaishe jikaze tu uniitee hakuna namna..!
😂😂😂😂 Ngoja nijifanye sioni Kama una sura ya holiday...Sawa kuanzia Leo wewe ni mr.handsome😍
 
Analipwa shilingi ngapi sasa na youtube, au inafaida gani kwake zaidi ya kujitangaza tu. yaani leo hii kibindoni kuna mpunga wowote anaweza pata direct toka yutube?
 
Tatizo anaweka content zingine anachomwa sindano , mara anaoga , ingekuwa ni content ya mziki tuu hapo Sawa ,post zingine za Kula mapapai tabata barakuda ,
 
Kwa hizo views 100M+,kaingiza milioni 67+Tshs.
Hyo ni YouTube tuu, huko itune na apple ndo wanapiga pesa ndefu balaa kule ukipata view 100K we ni millionaire , wimbo wa sukari tuu umeongoza kununuliwa ITune sjui ni Oman huko, bado matangazo aliyo nayo , na pia kapiga show nyingi Sana , na bado yupo ana show nyingi Sana , juzi kapiga hela ndefu za Simba uwanjani, kiufupi katoboa hata kama label inapiga parefu
 
Ndio nini
YouTube ni platform kama instagram ilivyo sema tu wameamua kuboost creators kwa kuwapa chochote kitu lakini sio lazima ndio maaana unaweza usimonetize channel yako kama hutaki kupokea hivyo vidollar vya YouTube
 
Wanaume tulishakubaliana kwenye kikao chetu cha juzi kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti kuwa, Ni marufuku kusikiliza nyimbo za Zuchu ila kuhusu kuangalia video zake YouTube tumekubaliana kuangalia kwani Chura zinazoonekana mule zinaongeza vitamini C ambayo inasaidia kuongeza uwezo wa macho kuona vizuri😄😄😄

CC
Behaviourist
 
Mimi sijabadili kwenda madafu, nimebadili kwenda USD.

Kama views 1000 ni 0.5USD, je views 100M itakuwa USD ngapi?
Mkuu mtwende pamoja hivi

Viewers 1000 = O.5 Usd
Je 1,000,000 =? Usd
Tunapata 1M = 500Usd

Kwaiyo, kwakila 1 Million viewers anaingiza 500Usd, idadi yake ya sasa ana viwers Million 100 ushindwe wewe sasa kujua kaingiza kiasi gani,

Rate ya leo ya 1Usd to Tsh ni 2321.45.
 
Back
Top Bottom