Tusherekee views million 100 za Zuchu

Tusherekee views million 100 za Zuchu

Kwa kuwa shabiki wa simbaaa sukari yetu, ila angekuwa timu ile ya wazumai hadi FIFA inawafungia usajili mbiooo
 
🤣🤣 Mimi natisha mimi..? Ungelijua nilivyo handsome walahi usingeandika ulichoandika! Mungu akusaidie tu.. baki na barakoa yako..😜
😂😂😂😂😂 Mahandsome hawajisifugi hukooo...kiberenge
 
Zuchu ndiye mwanamuziki wa kwanza wa kike Mashariki kupata watazamaji milioni 100 katika Youtube
Mwanamuziki wa Tanzania Zuhura Othman , al maarufu Zuchu amekua mwanamuziki wa kwanza wa kike Afrika Mashariki anayeimba peke yake kupata jumla ya watazamaji milioni 100 kwenye mtandao wa Youtube.

Mwanamuziki huyo kutoka kampuni ya Wasafi amepata kutokana na wimbo wake alioutoa hivi karibuni kwa jina ''sukari'' ulioikonga mioyo ya mashabiki na wapenzi wa muziki wake.

Zuchu ameelezea furaha yake ya kupata ufuasi huo kupitia mtandao wa Instagram:
 
Kama ni wa Mashriki pia usisahau kuleta wa Magharibi , Kusini na Kaskazini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mahandsome hawajisifugi hukooo...kiberenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kiberenge lol, ila cc bhana aaah
 
Back
Top Bottom