Tushindane kwa Uongo

Tushindane kwa Uongo

Sure, nakumbuka

Tena ulianzisha JF baada ya kukataa wazo langu la mimi na wewe kuanzisha familia.

Hata hivyo baadae JF ilipokua hacked na ndugu Melo ulinisihi sana turudi kwenye wazo letu la awali la kuanzisha familia.

Sehemu pekee tulishindwa kuelewana ulikataa wish yangu ya kuwa na watoto wawili, wewe ulitaka watatu.

Nikakuambia nimekubali wish yako kwahivyo unicheki PM

It's pity hukuwahi kufanya hivyo
Mimi ndio muanzilishi wa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😄😄😄😄Aisee
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Corona sio ugonjwa ni jamaa fulani wa uchina amewahonga marais kote duniani ili wampe kura awe mkuu wao. JPM pekee yake ndiye aliyekataa kuhongwa.
 
Tunauza mbegu bora za MADAFTARI.Na tunatoa elimu ya upandaji wa zao la MADAFTARI..tunapokea order kutoka mikoani pia Free delivery
 
Wale watu wenye upara wa asili Mimi ndio huwa nawanyoa nakubakiza za pembeni halafu nawapaka na mafuta ya asili kipara kinang'aa unaweza ona mbingu na nyota zote!
 
Back
Top Bottom