ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye balehe na mengine mengi