Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Habarini wadau.

Naomba mnisaidie kama kuna app au hata website ninayoweza kudownload series za mexico/telenovela
Mkuu ebu nenda uzi wa action movie mtafute chief mkwawa utapata
 
Ongera mkuu.... ivii kutengeneza app n free au unalipia..
Na kuna advantage gani watu wakiwa wanatumia app yako? Yaani kuna any payment unapata??
Kutengeneza ni bure wewe tu utaalamu wako ila kama unataka kuiweka google play kuna malipo kama nakumbuka vizuri usd 25. Kuna baadhi ya nchi unaweza kuiuza app yako play store ila nchi yetu bado not supported
 
Wakuu Naomba kujua YouTube downloder nzuri na nyepesi kutumia.
 
Wakuu Naomba kujua namna ya kuunganisha Samsung J5 kwenye deki ili niweze kusikiliza mziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…