Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Playlist nini?
Kama nikupakua video, angalia huko juu nilishaweka inaitwa videoder.
Kwa mfano ukiwa unangalia bongo flavor.. Hua kuna playlist YouTube inaku suggest, sasa ukitaka kuzi download zote ki urahisi unafanyaje?
 
Kwa mfano ukiwa unangalia bongo flavor.. Hua kuna playlist YouTube inaku suggest, sasa ukitaka kuzi download zote ki urahisi unafanyaje?
Hebu jaribu hiyo videoder ipo page za nyuma, kama itakidhi hitaji lako.
 
Kutengeneza ni bure wewe tu utaalamu wako ila kama unataka kuiweka google play kuna malipo kama nakumbuka vizuri usd 25. Kuna baadhi ya nchi unaweza kuiuza app yako play store ila nchi yetu bado not supported
Ok mkuu nish kusomaa
 
Wakuu naweza kutazama movie nilizo download kwenye cm nikaziona kwenye tv?
Naomba kama kuna jinsi ya kukonect nifahamishwe
 
Wakuu naweza kutazama movie nilizo download kwenye cm nikaziona kwenye tv?
Naomba kama kuna jinsi ya kukonect nifahamishwe
Kama hiyo tv ni flat screen yenye usb port au una king'amuzi kinacho soma flash mfano azam kwann hizo movie usiweke kwenye memory then ukatumia card reader kuangalia.
Otherwise labda uwe na smart Tv
 
Back
Top Bottom