KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Then msaada wa lubadili meseji za watsapp zillle ndeeefu ziwe mfumo wa pdf au file.... niamishie kwenye computer
PDF Creator.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then msaada wa lubadili meseji za watsapp zillle ndeeefu ziwe mfumo wa pdf au file.... niamishie kwenye computer
Ipo vemaaa sana hii Hans...
Playlist nini?Naomba app ya ku download playlist YouTube...
Kwa mfano ukiwa unangalia bongo flavor.. Hua kuna playlist YouTube inaku suggest, sasa ukitaka kuzi download zote ki urahisi unafanyaje?Playlist nini?
Kama nikupakua video, angalia huko juu nilishaweka inaitwa videoder.
Hebu jaribu hiyo videoder ipo page za nyuma, kama itakidhi hitaji lako.Kwa mfano ukiwa unangalia bongo flavor.. Hua kuna playlist YouTube inaku suggest, sasa ukitaka kuzi download zote ki urahisi unafanyaje?
Waache ubinafsi nawachukia hawa watu wanaosubili wenzao walete mada hapa uwanjani wenyewe kazi ya kusema add me kwenye group.Kistaarabu tunawaomba mtengeze thread yenu, halafu kutwa muwe mnaandika namba zenu huko.
Hapa naona kama mpo nje ya mada.
Mkuu hapa umemaanisha nini hebu ongezea nyama kidogo basi hii comment yako.Monect pc connect
App ya kuongeza ram ya cm inaitwaje vile? For rooted phone.Mkuu hapa umemaanisha nini hebu ongezea nyama kidogo basi hii comment yako.
Hii ni app nzur sana ya kukuwezesha kucontrol computer yako kupitia simu janja (smartphone) yako kupitia wifiMkuu hapa umemaanisha nini hebu ongezea nyama kidogo basi hii comment yako.
Ndo nini hikisnaville
Install Peel Smart Remote App itakusaidia.Wakuu natafuta hyo app ya remote control dvd au universal inayosauppt dvd na king'amuzi
Hans pol alinielekeza app inaitwa photo editor iko vizur aisee ijaribu na ww kuna picha nime change kwa kutumia hii app nikiweka app huwez aminWakuu msaada tafadhali. App ipi naweza kuitumia kuchange background ya picha kwnye android smartphone.
Ok mkuu nish kusomaaKutengeneza ni bure wewe tu utaalamu wako ila kama unataka kuiweka google play kuna malipo kama nakumbuka vizuri usd 25. Kuna baadhi ya nchi unaweza kuiuza app yako play store ila nchi yetu bado not supported
Kama hiyo tv ni flat screen yenye usb port au una king'amuzi kinacho soma flash mfano azam kwann hizo movie usiweke kwenye memory then ukatumia card reader kuangalia.Wakuu naweza kutazama movie nilizo download kwenye cm nikaziona kwenye tv?
Naomba kama kuna jinsi ya kukonect nifahamishwe
Smart phone kwa smart tv.Wakuu naweza kutazama movie nilizo download kwenye cm nikaziona kwenye tv?
Naomba kama kuna jinsi ya kukonect nifahamishwe
Photo editor ziko nyingi sana ,ni vizuri unisaidie kuniwekea link au hata screenshort ya hiyo app,samahani kwa usumbufu wowote chief!Hans pol alinielekeza app inaitwa photo editor iko vizur aisee ijaribu na ww kuna picha nime change kwa kutumia hii app nikiweka app huwez amin