Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu App yako ni nzuri, sababu ni ya nyumbani, na simple kutumia lakini sasa ambacho sijakipenda ni

1. Rangi ulizotumia hasa kwenye calender. Ile blue ya fertility window na blue ya ovolution days kama hazileti muonekano mzuri.

2. Siku za hatari huwa ni siku tatu kabla na siku tatu baada ya ile siku ya kati kati jumla zinakuwa 7 na ongeza siku moja ya kujuhami kabla na baada ya siku ya katikati ( hii ni kwaajili ya wale wanao panga uzazi wa mpango kwa kutumia kalenda) lakini kwenye app naona kama siku za hatari ni chache sana.

Mfano angalia picha hapa chini ni mzunguko wa mtu mmoja katika katika app yako na app inaitwa my calendar
80b22a676f270f3dafdc99c63c72b4cb.jpg

Hapo inaonesha 27 bado yupo safe day ( low chance of getting pregnancy)
17b4fbbf3fae18d5b9c818a70a11c392.jpg

Hapa inaonesha yupo siku ya hatari ( medium chance of getting pregnancy)

3. Kipengele cha pin code hakifanyi kazi.
Nime update app nimefanyia kazi baadhi ya mapendekezo yako
 
Wakuu nisaidieni application ya kudownload mp3 music pekee ,videoder ninayo!

Bango
 
Labda Hanspal atueleweshe hapa hatua kwa hatua

Hata mi siielewi , inanijaza wenge

Bango

Hii nilidownload nimeshindwa kuielewa hata kidogo
Wakuu hiyo app ni zaidi hapo unavyo iona, zipo picha nimezi edit kwahiyo app ila kuziweka hapa siwezi.
2.Kuhusu kukuelekeza ningependa na wewe uwe mbunifu pia, sina hakika kama naeleweka. wapo nilio waelewesha baadhi ya njia za kutumia hiyo app, njia nyingine ni wewe mwenyewe kulingana na wazo ulilonalo kichwani kuhusu picha ikae ikae vipi.
Na lamsingi kabisa ni kujua kila kipengele mule kwenye hiyo app kina maana gani.

Hizi ni faida za hiyo App
-Kubadili rangi zapicha yako
-kubadili background ya picha yako
-Kuweka au kutengeneza maandishi kwenye picha
-Kubadili sura au sehem yoyote ya mwili wako na kuweka vya mtu mwingine
-Kutengeneza logo/badge mbali mbali
-ku invert, crop, nk
-kubadili picha au maandishi uliyoyaweka ktk mfumo wa picha kuwa pdf.
-unaweza itumia kama video play na uka cupture picha kutoka kwenye hiyo video unayotazama
-Ku unganisha picha yako na mtu mwingine mkaonekana mlipiga pamoja.
- Kutengeneza animation GIF
- Ku compress to zip picha zako

Matumizi ni mengi sana kulingana na wewe unataka picha yako iweje.
 
Mkuu kuizip picha ndo kitu gani? Ila samahani kwa usumbufu!

Mimi nataka hapo kwenye kubadilisha background
 
  • Thanks
Reactions: M12
Mkuu kuizip picha ndo kitu gani? Ila samahani kwa usumbufu!

Bango
Mfano una picha zako kama 100 hivi inazifungia kwenye kabeg au bahasha.
Hizo picha kama zilikuwa na jumla ya mb500 ukizi zip zinakua na mb chache sana hadi utakapo unzip ndio zitaonesha kuwa na mb500.
Sina hakika kama umenielewa.
 
Hanspol Naomba msaada wako hapo kwenye background. Hizo nyingine kama nimeziona pale kwenye tools background sijaiona
 
Mimi nataka hapo kwenye kubadilisha background
Sio simple kama unavyo dhani
Inataka muda na ubunifu...
Lkn kwa kifupi utakapo ifungua ukaweka picha yako unayotaka kuibadili background pale kwenye Effect angalia neno overlay kisha S halafu image, hapo sasa chagua background unayotaka kisha ok halafu uwe kama una futa picha hivi sehem usizozitaka.
sasa hapa ubunifu unaotakiwa hiyo
1. Pointer yakufutia kuikuza na kuipunguza
2. Ku blur hiyo pointer endapo unakaribia kwenye mwili wa picha yako
3.Kumbuka ku save kila hatua ili ikitokea emergency usianze tena upya.
4. Tumia zoom kufuta sehem za mikunjo na undo endapo umekosea kufuta.
5. Katika finishing cheza na rangi ili kuweka msawazo wa rangi katika picha yako. Waweza tumia app zingine kama camera360 nk

Ukikwa ni pm hiyo picha yako kwa maelekezo zaidi.
 
Iptv inakuwa kwenye Smart TV in built au Naomba msaada wa kujuwa
 
Back
Top Bottom