Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kuna App Kma Historical Calendar, Inakwambia Siku Kma Ya Leo Katika Historian Kuna Nini ...Mambo Mengi Ya Kihistoria Pia Waweza Iset Kwa Kiswahil Kifrance Also English. Kuna App Kma Dailymotion, Hii IPO Kma YouTube Sema Hii Aitumii Sana'a Data Wala Connection Yenye Nguvu Hii Hata 2g Unatumia Bila Kukwama Kwama pia Inakuruhusu Kudownload Video/music/sport. Kuna App Kma Name Meaning Hii Aisee....Ukiingiza Jina Lako Au Mtu Mwingne Inakupa Mchanganuo Wa Mwenye Hilo Jina Tabia Zake Ni Mtu Wa Namna Gani. Nilijaribu Kuingiza Jina Langu Humo, Vilivyokuja Kuhusu Mimi Avijakosewa!!!
 
Kwa wale wataalamu wa simu Naomba mnisaidie. Kila ninaporoot simu yangu, ikifika 70% Ina fail. Sijajua tatizo ni nini. Msaada wenu tafadhari. Natumia Samsung S5 SM_G900F
Inapofel, Inaleta Ujumbe Gan.. Weka Screenshot Ya Inapofel Tukusaidie.
 
Simu yangu ni ya halotel so SIM 1 inaingia line ya halotel pekee.
Ukikosea ikaweka line ya halotel ktk SIM 2 hujifunga na kukataa line ya mtandao mwingine ktk SIM2. Huwez kutatua tatizo hapo mpaka ui-root simu ndo hiyo lock inatoka.
Hapana ku root simu hakuondoi lock za simu zinazo uzwa na makampuni ya simu.
Hiyo inahitaji ku flash.
Wasiliana na Mwl.RCT
HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number
 
Inapofel, Inaleta Ujumbe Gan.. Weka Screenshot Ya Inapofel Tukusaidie.
b88a6b084a46b451589ebae777bbe68d.jpg
c3ab1eb2d1f7df943942af9e09975453.jpg
 
4.8.0 haitaki kabisa ku install kwenye simu yangu. Hiyo ni 4.0
 
Back
Top Bottom