Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nimejaribu ku peruuz page zote ila sijafanikiwa kuona app ya ratiba za match na channel zitakazo onesha live..mobi Kora nime download sijaelewa.. Msaada
 
Nimejaribu ku peruuz page zote ila sijafanikiwa kuona app ya ratiba za match na channel zitakazo onesha live..mobi Kora nime download sijaelewa.. Msaada
Mbona zipo playstore mfano ESPN, GOALSCORERS, Ila hazioneshi ni channel gani itarusha live. Hiyo mobi kora nayo angalia logo ya timu husika ila inaonesha mechi itakuwa live channel gani.
 
Mbona zipo playstore mfano ESPN, GOALSCORERS, Ila hazioneshi ni channel gani itarusha live. Hiyo mobi kora nayo angalia logo ya timu husika ila inaonesha mechi itakuwa live channel gani.
Nahitaji kujua channel ipi inarusha, match natumia goal na iko Poa... Ngoja niifatilie kora... Asante
 
Mkuu nimejaribu japo sijaweza kunyoosha
 
Haiya haiya. Tumejikuta tunaeleweshana zaidi jinsi ya kutumia Apps kuliko kujulishana Apps nzuri kulingana na tunavyotumia.

Ok binafsi nimekutana na App ya kuitwa FX file manager, ni nzuri kwa wadau wakuzijua Apps mtaijaribu.
Inaoption nyingi sana za kulifanya file vile unataka, inanplayer ndani ya sound na video, ina text editor, kwa wale wakuroot ina hadi axccessing ya system folder, NB ni in-apps purchased.. So unaweza kutumia apps ya freedom au lucky patcher kuihalalisha.
 
Jaribu hii mkuu inaitwa Ex File Explorer Nimeona hii inawatumiaji mara kumi ya hiyo yako so cheki features zake
ES File Explorer File Manager - Android Apps on Google Play
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…