Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Habari wakuu nahitaji msaada wenu, simu yangu imekuwa na tatizo la kugoma (stuck) tangu juzi, ikigoma natakiwa niisubiri masaa kadhaa huku nikiirestart ndo ikubali kufunction nimejaribu kurestore still tatizo lipo, simu inaukubwa wa 16gb now imebaki 2gb na ram yake ni 2gb, please nishaurini nini nifanye
Asanteni
 
Wakuu naombeni msaada nina simu yangu huwa inaji run yenyewe.. kwa mfano nikiwa naandika text kabla sijamaliza, ile text inajituma yenyewe; au mfano nikiwa you tube nacheki video gafla inaji next yenyewe ...so naombeni msaada wakuu nin tatizo?

Screen yako imepasuka au mikono yako huwa ina maji au jasho unapokuwa unatumia simu yako...?
 
Mimi nimechemka kabisa kuroot sim yako techno C9s iyo hapo chini
 
Aisee watumiaj wa Samsung kuna kitu kama kijicho hiv kina tokea kwenye status bar kina kuja na kupotea kuja na kupotea huwa kina maana gani?
 
Naomba unijuze steps ulizopita ukafanikiwa. Mm nilijarbu kwa pc nikitumia kingoroot, nkashindwa.
Nikazi ndogo tu mkuu tafuta kingoroot ya pc kisha wakati una root make sure una access ya internet ktk hiyo pc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…