Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Vidmate ni noma mkuu jana imenizimia cm kuna nyimbo nlkua nadownload ni qwl haifai kbs mkuu japo nzuri
 
Inanijibu unfortunately google.com stoped,hyo nmedownload last apk pia lucky patcher inazngua hvyo
 
Inanijibu unfortunately google.com stoped,hyo nmedownload last apk pia lucky patcher inazngua hvyo

Habari zenu wakuu....
Samahanini nina shida... Kama kuna mtu anajua cheatin trick za kufungua "zip file" ambayo iko protected
Anifundishe maana Nins documents za muhimu sana ila nimepoteza password
 
Kodi vipi sio nzuri kwa kuangalia mechi za mpira sababu ninaona inatajwa sana mobdro
 
Application ya kubackup messages kwenye simcard tokea ilipoanza kutengenezwa please
 
Vidmate bomba sana japo mm baada ya kuipakua nilionywa kuwa hii huharibu simu ni hatari nikaiondoa,
jaribu app ya peggo au tubemate kudownload video YouTube na mitandao mingine kama dailymotion n.k hizo pia ni nzuri nimesha zitumia sema saivi nipo tubemate
 
Habari zenu wakuu....
Samahanini nina shida... Kama kuna mtu anajua cheatin trick za kufungua "zip file" ambayo iko protected
Anifundishe maana Nins documents za muhimu sana ila nimepoteza password

Es file explorer
 
MSAADA WENU WAKUU.....

Cm yanguh ina tatizo ,nikidownload application inakubali shida inakuja nikiifungia hiyo application inafunguka then suddenly inakata inarud mwanzo i mean cm inajirudisha nyuma kwenye menu yake

Naomba msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…