Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mwenye uelewa jinsi ya ku update Gb whatsapp anisasaidie maelekezo niki update inagoma inaleta maandsh ya kiarabu then chin panakua na neno download nikibonyeza apo inagoma
Shuka chini hadi ukute maandishi mafupi yaliyo kolezwa rangi ya blue ya kiarabu bofya pale alaf download mkuu
 
Habari wadau,
Naomba mnisaidie hapa;
Nlikuwa naanda Annual report kwenye laptop yangu nka save desktop ila baadae naichk haipo
 
Wadau naomba kujuzwa app inayoweza kusoma temple/speed ya beat/wimbo pindi tu nnapo-play beat/wimbo husika kunako simu.

Shukran Sana.
 
King user na super user sio apps za kuroot

Kuroot iyo simu yako tumia CF-Root Download

Hii njia ya computer ni dk 1 tu na ni uhakika

Ukitaka kubahatisha jaribu framaroot na towel root hizi bila computer. .ila zote zikigoma njia itayokufaa ni hiyo ya pc ambapo utapata zip ya chainfire..jamaa ndo mbabe wa kuroot hizo samsung

Ukiwa super user utafanya mengi kuliko kinguser ambayo utapewa na king root kuna kaz itachemka kufanya.
Mfano wa kazi hizo ambazo nitashindwa kufanya pindi nikitumia kingroot
 
Ni nani jamani aliyefanikiwa kuchakachua program ya cerberus kwakutumia lucky patcher.
Anielekeze tafadhali
 
Hiyo app nimetengeneza mimi ina lugha ya kiswahili pia. Kwa akina dada kufuatilia mzunguko wa hedhi na kujua siku zipi za kuepuka kupata ujauzito au ni siku zipi za kupata ujauzito kwa wale wanaotafuta watoto. Kina kaka pia mnaweza kuwa nayo ujue mzunguko wa mwezio unaendaje. Na mengine kibao...
Na utatumia data zao kufanyia nini?
 
naomben mnisaidie jaman mm kwng OgWhatsapp inatokea iv....
na ata nikilekebisha saa bado haifanyi chochote.
 

Attachments

  • Screenshot_20170128-150842.png
    Screenshot_20170128-150842.png
    15.9 KB · Views: 84
Back
Top Bottom