Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Msaada namna ya kuondoa [HASHTAG]#ads[/HASHTAG] kwny application ambayo unakuwa umedownload.

Mfano kama hiyo application ya mziki hapo chini kuna ads inataka niinstall na huwa zinabadilika kila wakati muda mwingine inatokea nyingine na hii ni pale ninapokuwa naitumia hiyo application huku nimefungua data....

Msaada wakuu tafadhari
Adblock plus au lucky patcher lakini simu yako lazma iwe rooted
 
Asante... Nimesoma maelekezo ila sasa number ya Halotel haaikubali ku create account ya Primo inanambia invalid number..
Ilikuepo app inaitwa voxox ilitumika sana kwahii ishu sina hakika kama hadi sasa badi ina function...
 
Wakuu nashindwa kuinstall gbwhatspp latest alafu ile nimeifuta inasema hv
389127965cb5352a9f0670e71da8bf4c.jpg
 
Mwenye uelewa jinsi ya ku update Gb whatsapp anisasaidie maelekezo niki update inagoma inaleta maandsh ya kiarabu then chin panakua na neno download nikibonyeza apo inagoma
 
Naomba mnitajie music player nzuri sija root simu maana powerap mpaka u root
 
Back
Top Bottom