Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Niulize nitakujibu,wadau mwenye mautundu
ya kuunlock simu..
Hakuna icon ya kuonyesha kuwa simu ni rooted zaid itakwambia your device is rooted lakin njia rahisi ukitaka kuhakksha tafuta app yoyote inayotaka rooted simu jaribu ku install ikikubal kupga kazi ujue tayari...Wadau mbona mie nimewezesha kingroot kwenye simu yangu. Na nimefungua play store root checker kwa ku install na ku verify root ikinipa congratulations ,root access properly installed on this device.
Ila sijaona ishara yeyote ya kuwa U'RE NOW A SUPERRUSER kwani superuser kutakua na icon yake? hadi nahisi huenda simu haijawa rooted.
Naomba msaada kutakua na tatizo gani wadau?
Mkuu kingroot haina super user. Kama ume weka root checker basi hiyo simu ipo rooted tayari.Wadau mbona mie nimewezesha kingroot kwenye simu yangu. Na nimefungua play store root checker kwa ku install na ku verify root ikinipa congratulations ,root access properly installed on this device.
Ila sijaona ishara yeyote ya kuwa U'RE NOW A SUPERRUSER kwani superuser kutakua na icon yake? hadi nahisi huenda simu haijawa rooted.
Naomba msaada kutakua na tatizo gani wadau?
Huna mawasiliano na huyo mtu?Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
Mkuu umenisaidia na mmIngia kwenye 'settings' kwenye simu yako. Kisha, tafuta sehemu yenye orodha ya apps yako na ibonyeze 'whatsapp' na bonyeza tena 'disable'. Ukitaka kutumia tena utafuata mlolongo huo na bonyeza 'enable'.
Huna mawasiliano na huyo mtu?
Badili password ya email address yako. Problem solved mkuu.Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
Abadili passward kisha kuna swali ataulizwa kuwa sign out/ log out kwenye device zote zinazo tumia email yako utaku kubali kwa ku press YES.Badili password ya email address yako. Problem solved mkuu.
Ndio inawezekana, kwa baadhi ya simu, lakini best way tumia launcher zenye hiyo feature ya hide appHivi mtu unaweza kufichaa app katika simu yako ambyo utaki mtu hazione
jaribu kubadilisha password codes zitumwe kwa njia ya number yako ya simuNaomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
zipo nyingi tu mfano apphiderHivi mtu unaweza kufichaa app katika simu yako ambyo utaki mtu hazione
Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
Yan siyo kuweka rock ya app nataka kuficha file zima kma whasp naficha mtu hasione inawezekana jezipo nyingi tu mfano apphider