Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wadau mbona mie nimewezesha kingroot kwenye simu yangu. Na nimefungua play store root checker kwa ku install na ku verify root ikinipa congratulations ,root access properly installed on this device.
Ila sijaona ishara yeyote ya kuwa U'RE NOW A SUPERRUSER kwani superuser kutakua na icon yake? hadi nahisi huenda simu haijawa rooted.
Naomba msaada kutakua na tatizo gani wadau?
 
Hakuna icon ya kuonyesha kuwa simu ni rooted zaid itakwambia your device is rooted lakin njia rahisi ukitaka kuhakksha tafuta app yoyote inayotaka rooted simu jaribu ku install ikikubal kupga kazi ujue tayari...
 
Wadau mbona mie nimewezesha kingroot kwenye simu yangu. Na nimefungua play store root checker kwa ku install na ku verify root ikinipa congratulations ,root access properly installed on this device.
Ila sijaona ishara yeyote ya kuwa U'RE NOW A SUPERRUSER kwani superuser kutakua na icon yake? hadi nahisi huenda simu haijawa rooted.
Naomba msaada kutakua na tatizo gani wadau?
Mkuu kingroot haina super user. Kama ume weka root checker basi hiyo simu ipo rooted tayari.
 
Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
 
Huna mawasiliano na huyo mtu?
 
Ingia kwenye 'settings' kwenye simu yako. Kisha, tafuta sehemu yenye orodha ya apps yako na ibonyeze 'whatsapp' na bonyeza tena 'disable'. Ukitaka kutumia tena utafuata mlolongo huo na bonyeza 'enable'.
Mkuu umenisaidia na mm
 
Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
Badili password ya email address yako. Problem solved mkuu.
 
Kwa wanaotumia LINK2CD mbona kwangu nikitaka ku link fili nakataliwa? Na badala yake napokea ujumbe kuwa "" you are second partition not found"
Hebu tusaidiana wakuu
.
 
Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu
jaribu kubadilisha password codes zitumwe kwa njia ya number yako ya simu
 
Naomben msaada jamani kuna jamaa alifungua sim yake kwa kutumia email yangu kashanikera make ata kitu kikiingia kupitia email yngu yy kule kashasoma sasa hakuna njia nayoweza kuitoa hio email katika sim yake kupitia katka sim yngu naamin mtanisaidia wakuu

Badilisha password ya email yako then log out of other devices
 
Back
Top Bottom