App updated click here to update Biblia Takatifu - Kiswahili - Android Apps on Google PlayMkuu sana nimeona asante mnoo sasa rekebisha kwanza.
Nita share watu waipate hii bible app fr now nibora kuliko zingine. Ushauri kama unaweza kuadd pia kiingereza labda..
Mkuu Naona imegoma.. Tupe mbadala WA mobdroNenda google ktk browser yako ya internet kisha andika mobdro.apk
Mkuu hebu fungua hapaMkuu Naona imegoma.. Tupe mbadala WA mobdro
Hiyo red light inakuwa wapi mkuu?Simu yangu iko rooted sasa nashangaa mara kwa mara indicator light ina indicate red light nashandwa kuelewa inaashiria nini.
Natamani ni unroot japo nimeona manufaa kwa kui root.
Wataalamu hebu tusaidiane indication hii inamaanisha nini?
Unatumia samsung???Simu yangu iko rooted sasa nashangaa mara kwa mara indicator light ina indicate red light nashandwa kuelewa inaashiria nini.
Natamani ni unroot japo nimeona manufaa kwa kui root.
Wataalamu hebu tusaidiane indication hii inamaanisha nini?
Hiyo app ya bible ni nzuri naona umerahisisha sana hasa hapo kwenye option ya kusearch ubarikiweApp updated click here to update Biblia Takatifu - Kiswahili - Android Apps on Google Play
Sasa Tafuta inaonekana kirahisi ipo kwenye menu pia inasupport kuanzia android 4.2
Thanks!Hiyo app ya bible ni nzuri naona umerahisisha sana hasa hapo kwenye option ya kusearch ubarikiwe
.
Unaweza kucheki pia app nyingine ya nyimbo za injili yenye vitabu vitatu ikiwemo na tenzi za rohoni
Inaitwa nyimbo za kikristo ipo playstore
Inakuwa kwenye ile ile sehemu ya indicate ya batry au new notification mkuuHiyo red light inakuwa wapi mkuu?
Hapana, natumia Huaway G mini playUnatumia samsung???
Unaweza kuweka hapa screen shot maana baadhi ya samsung ukiiroot inaketa vialama fulani hivi vya pembe tatu.(red triangle)Inakuwa kwenye ile ile sehemu ya indicate ya batry au new notification mkuu
Unaweza kuweka hapa screen shot maana baadhi ya samsung ukiiroot inaketa vialama fulani hivi vya pembe tatu.(red triangle)
Sasa kama ndo hivyo useme tukuelekeze jinsi ya kuondoa
Mkuu unataka kusema tatizo ni hiyo simu.Nina sim ya tecno y2 yani nikiitazama screen sana macho yanauma sana alafu mwanga nimepunguza mpaka mwisho sijui tatizo ni nini,
Naombeni msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kusolve hii ishu
Hiyo indicator huwa inakujulisha notification?.
Sasa hii Huawei mkuu indicator light ipo juu kabisa mwa screen haiwezi kuwa sehemu ya screen shoot. Yaani ni kale ka duara ka juu kabisa kanakoonyesha red kama battery iko low au green kama battery inakaribia kujaa.