Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Mkuu nimependa Sana ulivyo iupdate imekua saafi Sana. Bila Shaka utakua mwanafunzi labda wa chuo au umemaliza maana naona Una spirit.

Hongera mnoo.
Thanks! [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Aisee watumiaj wa Samsung kuna kitu kama kijicho hiv kina tokea kwenye status bar kina kuja na kupotea kuja na kupotea huwa kina maana gani?
Hiyo ni 'Smart Stay' waweza itoa katika settings> display settings
 
Jamani tangu nidownload show box inafanya hivyo tuuu tangu saa nne nini tatizo?
Show box hata Mimi ilikuwa inaniletea hivyo kwa mda mrefu, nliuninstall nikadownload upya lakin bado iligomA, sasa hiv natumia Megabox mda mrefu na haijawah kunisumbua, IPO kama showbox
 
Jamani tangu nidownload show box inafanya hivyo tuuu tangu saa nne nini tatizo?
2dda61a7f1c79b1026165ba1416f93ce.jpg
 
Jamani tangu nidownload show box inafanya hivyo tuuu tangu saa nne nini tatizo?
Unstall na install upya,pia kama upo eneo net sio nzuri itasumbua hakikisha pia upo sehemu net ipo poa
 
Back
Top Bottom