Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Nina sim ya tecno y2 yani nikiitazama screen sana macho yanauma sana alafu mwanga nimepunguza mpaka mwisho sijui tatizo ni nini,
Naombeni msaada kwa wale wanaojua jinsi ya kusolve hii ishu
Mkuu hilo tatizo hata mimi ninalo.ni tatizo la kutumia simu mda mrefu.ikitoka kwenye macho itakua kichwa kinauma.ushaur punguza matumizi ya simu na tv
 
Android Manager...hii app unakonect na laptop mfano ukipoteza unaweza kuingia katika hiyo apps katika ukafuta data zako zote au kuiruhusu sim yako ipige alam muda wote na kukuonyesha location ilipo

The truth spy ....app hii inakusaidia kujua text za rafiki yako au girl wako unai download na kuinstall ktk sim ya mtu unaetaka kujua text zake nikafaili kadogo sana ni mb 1 nazan na hata ukistall kwa victim ye hawezi kukaona

Team Viewer.....app hii inakufanya kushare vitu ving kutoka katika computer na sim unaweza kufungua file za computer kupitia sim yako na ukaangalia katika simu yako file za computer

Sync hii app pia inakusadia kuche file za kwenye computer katika sim yako

Vault hii app unaweza ficha picha zako video,apps zako ,contacts na text na mtu asizione

Translate....hii ni app inakusaidia kubadili lugha mfano unakiswahili unataka kukipeleka katika kiingereza au kiingereza kwenda kichina,kijapan,kifaransa ni wewe tuuuu

Enjoy this few apps.....Out Do ze Does.... tchaooooo
Good
 
Kwa nini face book na Twitter zinagoma kuhama kwenda sdcard memory kutoka internal memory? Natumia app ya Link2cd. Hebu tusaidiane maujanja wakuu. Internal space yangu ni ndogo.
 
Kwa nini face book na Twitter zinagoma kuhama kwenda sdcard memory kutoka internal memory? Natumia app ya Link2cd. Hebu tusaidiane maujanja wakuu. Internal space yangu ni ndogo.
Mimi natumia lucky patcher na inakubali bila shida
 
Back
Top Bottom