Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

tubumate inanifanya niifurahie simuyangu
tubemate nimewahama kidogo saivi npo huku

>>videoder
nashusha tu movies mpya na series kupitia website ya gomovies.to hii app inadownload vitu kutoka karibu katika kila website kuanzia youtube,instagram, facebook,dailmotion n. k hata kama hiyo video ni ya kustream
nakuhakikishia ukiijaribu lazma uisahau tubemate
 
Reactions: dtj
Nitumie link yake mkuu ya hio videoder maana naitafuta muda mrefu kweli yaani

Naielewa sana hii kitu
 
Kma Ni Setting Kwa Hii Mobile Security, Bonyeza Hapo Left Kweny Hiyo Mistar. Hii Ni Mobile Security Na Sio Anti Theft.
Halafu mkuu hizo ant theft wamezileta nyingi mno mpaka nashindwa nichukue ipi,,!
 
Au audio manager
Hi private me kazi yake Ni kuficha apps kwa mfano uninstall whatsaap basi kwa kumia private unaweza kuficha usionekane na mtu na akajua hujainstall hiyo app...
Ila hii inastuck sana Sasa naomba nyingine mfano wa hii
 
Iv uki back up file zinajisave wapi
Ndani ya memory ya simu yako yaani internal memory ila kuna njia nyingi za ku backup ambapo moja wapo ndo inayotumika sana una backup apps zako zote na vi2 vyako vyote kwa email ambapo ukija kubadili simu endapo utatumia email hiyo hiyo uliyofanyia backup apps zako pamoja na vi2 vyako vinarudi
 
Iv uki back up file zinajisave wapi
Nakushauri sana download dropbox apk hii app yaani ukifanya backup kwa app hii hata kama utaibiwa simu ukaenda kwenye pc ukaweka email ambayo uliitumia ndani ya hii app apps zako pamoja na vi2 vyote ulivyokuwa navyo vinakuja ss kazi ni kuviinstall 2
 
Maelezo yapo safi kabisa, ila naona kuna vitu bado vinazingua nataka kuchakachua jet audi
 
Hili tatizo hata kwangu baada ya update custom patches bado tatizo lipo pale pale
 
Kwa wale ambao labda luckypatcher inazingua kwenye ki hack jaribuni kutumia version 6.4.6 kwa kuwa ndiyo ambayo naitumia na mpaka sasa haijaniletea shida yyte na labda kama itakubali kuplay usije kui update kamwe jaribuni hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…