Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Kwa wale ambao labda luckypatcher inazingua kwenye ki hack jaribuni kutumia version 6.4.6 kwa kuwa ndiyo ambayo naitumia na mpaka sasa haijaniletea shida yyte na labda kama itakubali kuplay usije kui update kamwe jaribuni hapo
Weka link hapa
 
Mkuu hii link uliyonipa ina virus yani security zote nilizonazo kwenye simu yangu inataka nii unstall
Ni kawaida kwa simu nyingi kuitambua gbwhatsapp kama kirusi ila chukua hii ambayo ni stable zaidi gb whatsapp v2.17.79 ambayo ni more stable
 
JAMANI KWA WALE AMBAO MNATAKA APPS KAMA HIZI NI RAHISI SANA KUZIPATIA 4SHARED KULIKO KUANGAIKA NA LINK ZA GOOGLE KWA HIYO KAMA UNATAKA 4SHARED INGIA PLAYSTORE MARKET NA KISHA ANDIKA 4SHARED KISHA ITAKUJA IDOWNLOAD HALAFU JI SIGHN IN NA ACCOUNT YAKO YA GOOGLE KISHA ANZA KU DOWNLOAD APPS YYTE AMBAYO HAIPO PLAYSTORE
 
Ni app ipi inatumika kusearch picha yaani unatupia picha then inakuletea information about hiyo picha.
Mfano umeikuta picha whatsapp then ungependa kupata information deeply kuhusu hiyo picha and picha zingine zinazorandana na hizo ni app ipi
Msaada please
 
Nenda play store down load psp emulator

Zen download game za psp zilizo ktk mtindo wa zip

Zen una unzip unakula game kiulaini za psp
 
Ninayo lucky patcher ila haina hizo option kama yako ina hizo option zitume link watu tuchukue hapa utakua umesaidia bila shaka maana mlengo wa uzi huu ni kusaidiana in easy way
 
Wataalam tujuzane inakuwaje memory card inakula file zangu yaani nime save file lenye mb5 afu baadae nakuta liko 0mb kuna app inaweza nisaidia kurudisha file memory zote??
 
Jamani[emoji115] [emoji115] [emoji115] hii mnisaidie Wakuu
 
Wataalam tujuzane inakuwaje memory card inakula file zangu yaani nime save file lenye mb5 afu baadae nakuta liko 0mb kuna app inaweza nisaidia kurudisha file memory zote??
Kifupi ni kuwa unatumia memorycard ambayo si ya simu yaani haitumiki kwa matumizi ya simu na ndiyo maaana inakutafunia files zako zote na pia iko slow kwenye kutuma na kupokea files cha kufanya ni kuwa tafuta memory card aina ya SAN DISC class yyte inaweza cheza kwa simu yako ni memory ambazo ziko fast na more stable na pia inatumika popote.hiyo ambayo inakula mafiles hutumika kwa kamera na radio sana sana
 
Hili tatizo nilikuwa nalo mimi kuna virus humo mkuu.cha muhimu tafuta anti virusi anaitwa cm securty then scan utamwona
 
SOLID EXPLORER best file manager ever , unaweza unganisha vizuri na cloud storage zako ,iko playstore
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…