Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Weka link hapaKwa wale ambao labda luckypatcher inazingua kwenye ki hack jaribuni kutumia version 6.4.6 kwa kuwa ndiyo ambayo naitumia na mpaka sasa haijaniletea shida yyte na labda kama itakubali kuplay usije kui update kamwe jaribuni hapo