Matangazo ndiyo yanasababisha upate app bure developers kama mimi tuntumia muda mwingi, sleepless nights kutengeneza hizo apps ambazo unazipata for free at least try to support us by allowing ads to show up don't disable themninyo apk ambayo nimeiondoa matangazo sema limit ya kutuma hapa sijajua ni mb ngapi ila ngoja nijaribu kutuma
sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
muwe mnatengeneza pro version ambayo haina ads kisha muuze kwa bei mbaya mno kwa mfano mm nina jamiiapp ambayo nimeifanya premium na nataka kuituma hapa kwa kuwa no any restriction kwa hiyo tunasaidiana tu mkuuMatangazo ndiyo yanasababisha upate app bure developers kama mimi tuntumia muda mwingi, sleepless nights kutengeneza hizo apps ambazo unazipata for free at least try to support us by allowing ads to show up don't disable them
Shukran! Apps zangu zote zipo Google Play bofya kiungo hiki kuziona Robert Londo – Програми Android у Google Playanhaaaa ngoja tuanze kukupa support kwa kuangalia apps zako
sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Shida kwa sasa Google hawasupport merchant account Tanzania ndiyo inayotumika kuuza hizo pro apps. Hanma namna kwa sasa hadi baadae watakaposupport for now our only hope ni hizo adsmuwe mnatengeneza pro version ambayo haina ads kisha muuze kwa bei mbaya mno kwa mfano mm nina jamiiapp ambayo nimeifanya premium na nataka kuituma hapa kwa kuwa no any restriction kwa hiyo tunasaidiana tu mkuu
sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
umesomekaShida kwa sasa Google hawasupport merchant account Tanzania ndiyo inayotumika kuuza hizo pro apps. Hanma namna kwa sasa hadi baadae watakaposupport for now our only hope ni hizo ads
Mobdro.comSawa mimi ni mvivu
Ila wewe usiye mvivu umeshindwa kuweka link
Post zipo nyingi siyo rahisi kupitiapitia pia kuna link orijino na magumashi
unatumia software gani ?Wandugu naombeni maujuzi ya kuhamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye laptop kama kuna app naombeni link bila kutumia usb
i mean unatumia windows ama apple mackbook? na kama ni windows ni windows ngapi?Wandugu naombeni maujuzi ya kuhamisha file kutoka kwenye simu kwenda kwenye laptop kama kuna app naombeni link bila kutumia usb
Window 8.1unatumia software gani ?
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Window mkuui mean unatumia windows ama apple mackbook? na kama ni windows ni windows ngapi?
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
anhaaaa kuna hii xender ni iko chap sana kwenye file transfer ngoja niweke link hapaWindow mkuu
Sawa mkuu pia unipe somo kidogo namna ya kuhamisha mkuuanhaaaa kuna hii xender ni iko chap sana kwenye file transfer ngoja niweke link hapa
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
kuhamisha ni simple sana kama utakuwa umeshainstall hiyo xender kwa pc yako na kwenye simu unayotaka kushare nayo hizo files unatakiwa uwe na xender kisha utazifungua zote ya kwenye pc na ya kwenye simu hapo kwenye xender utaona kuna options mbili ya share na ya receive sasa kama ni kushare kutoka kwenye simu kwenda kwa pc utagusa share kwenye simu yako na pc utagusa receive yenyewe itacreate wireless link na utaanza kuhamisha ma files yyte yale kuanzia movies,pictures,phone games,roms,documents,na mengineyo meeengi tu (yenyewe ukishaofungua kwa mara ya kwanza itakupa maelekezo mkuu)Sawa mkuu pia unipe somo kidogo namna ya kuhamisha mkuu
Nimekupata mkuu nipe link tu nipakue sasakuhamisha ni simple sana kama utakuwa umeshainstall hiyo xender kwa pc yako na kwenye simu unayotaka kushare nayo hizo files unatakiwa uwe na xender kisha utazifungua zote ya kwenye pc na ya kwenye simu hapo kwenye xender utaona kuna options mbili ya share na ya receive sasa kama ni kushare kutoka kwenye simu kwenda kwa pc utagusa share kwenye simu yako na pc utagusa receive yenyewe itacreate wireless link na utaanza kuhamisha ma files yyte yale kuanzia movies,pictures,phone games,roms,documents,na mengineyo meeengi tu (yenyewe ukishaofungua kwa mara ya kwanza itakupa maelekezo mkuu)
sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Xender Direct Download - Xender For PCNimekupata mkuu nipe link tu nipakue sasa
Si kweli sio zoteBlackmart kwa rooted Android. Hiii app inakusaidia kupata app zooote za play store zinazouzwa bure. Haipatikani Google play. I search kwenye search engines
Je app nyengine huwa inashindikana?Best App ni Luckypatcher.
-Lucky Patcher kwenye android itakusaidia , kuondoa matangazo,break different apps' Android Market License Confirmation or other Confirmations for the applications. Unahitaji kuwa rooted.
Mfano,uki download kitu program ambayo si premium kwenye Android baada ya kuinstall fungua lucky patcher tafuta hiyo program ,open menu of patches, patch utapata premium version.
Vile vile games zote you can hack them for free.